Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aisee nacheka kweli. 🤣🤣🤣. Unajua hizi styles hizi ni old fashion. Akina Diamond wamevaa hizi before awe msanii. 👇🏾🤣🤣🤣🤣
 
Hii ni Ushamba … I see Diamond throwing the 3 finger gang salute ( I bet he didn’t know what that means, probably saw it on TV)..🤣🤣🤣… na huyo jamás ako juu amevaa Tennessee Titans Football jearsy number 27 ya the great Eddie George ( one of my favorite running backs of all time)… I bet alinunua mtumba ….Hii ndio ushamba … unafanya mambo ya kurusha vidole na Kuvaa Nguo hujui meaning yake …🤣🤣🤣
 
Goodnight neighbors!… the battle résumés tomorrow evening after assignments … sasa wacha panya watawale uwanja ..🤣🤣🤣😂😂
 
Mbona unajielezea sana.? 🤣🤣🤣 hizo style huku bongo watu walivaa zamaani sana. Akina master J na P funk majani walivaa wakiwa Vijana wadogo sana. 👇🏾🤣🤣🤣 we unaona ujanja eti.
 

Babu ulichomekwa kwenye hilo koti la kibabu style za picha ujui me Naona mti umesimama tu 😁😂 so sad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…