With Pleasure…Can you prove
Hii Dar ikiwekwa ligi moja na Mombasa I’m sure Mombasa itaicharaza asubuhi na mapema.From mikocheni Dar. 👇🏾View attachment 3273916View attachment 3273917
Huyu ni wewe, Tanzania lc 300 ni kama boda bodaWapi doze hapo? Dingi Lee is a Tanzanian anayetetea nchi yake.
Wanaojielewa ndio hawa hapa.
View: https://x.com/Sswwm1/status/1901489592517206513
Sawa.Hii Dar ikiwekwa ligi moja na Mombasa I’m sure Mombasa itaicharaza asubuhi na mapema.
Shida SI wabeiligiji.
Isitoshe Wabelgiji wameondoka Rwanda tangu 1960s miaka 60 baadae bado wanawalaumu!Shida SI wabeiligiji.
Shida ilikuwa wao wenyewe mtu anatoka ulaya anakuja huku anaanza kuwagawa na nyinyi mnakubali kugawanyika kuwa wahutu na wahutsi.
Umeonaeee baada ya kuondoka ilitakiwa wao wamalize hizo chuki zilizopandikishwa kwenye jamii Yao. Sasa wanalaumu Nini.Isitoshe Wabelgiji wameondoka Rwanda tangu 1960s miaka 60 baadae bado wanawalaumu!
Chuki zilizopandikishwa❌ chuki zilizopandikizwa✅Umeonaeee baada ya kuondoka ilitakiwa wao wamalize hizo chuki zilizopandikishwa kwenye jamii Yao. Sasa wanalaumu Nini.
Yao watutsi ndo walipewa madaraka ya kuwa Bora dhidi ya wengine walikuwa wanaona Raha tuu
uongo mtupu hili daraj lilishakusanya pesa nyingi sana zaidi ya hapo na lilisharudisha pesa yake muda mrefu na litakiwa hvi sasa bei zipungue kabisa gari ndogo zilipe 500 kutoka 1500, lorry zilipe 10,000 kutoka 25,000, daladala zilipe 3000 kutoka 7000, wawapunguzie mzigo watanzania pooo🗑️