Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ngoja ngoja. Nikuletee picha za magari na vipanya Nairobi vya miaka 1990s. YΓ‘Ε„Γ­ mnajishaua kama vile Nairobi hatuijui vile

Yes Arusha kuna costas za watu 25 nowdays, route nyingi, tofauti na zamani
Leta and make sure number plates ziko visible tujue registration year
 
Tushindane aje na watu wana import magari za 1990's 🀣 🀣 🀣 We are not on the same wavelength.
si hua munakimbia hapa niliwaekea bugati chiron coupe mukatoka mbio kunguni nyinyi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ alaf ajabu jamaa owner hata hana jina wala hajulikani


View: https://www.instagram.com/p/DEu15YCNz5j/?igsh=MTRpODU3a3ZtNTY0Zw==
View: https://www.instagram.com/p/DFJGiCJt7QF/?igsh=MWprcXIyMzQya2dhZw==




na sio kwamba iko moja tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
bugatti veyron

View: https://www.instagram.com/p/DGI8hf-tK97/?igsh=eXpxMXBudGplbXlt
View: https://www.instagram.com/p/DF24OtPN6dv/?igsh=MTh4d2ZlMXE3bm9yaQ==
 
Sisi kwenye affordable housing tumeanza kitambo kabla hata ruto hajazaliwa kipindi wakenya masikini hawana haki ya kuwa na ardhi wote wanakusanyea kibera na slum nyingine

Unafikiri Nairobi watu million 5 kuishi kwenye slums ilikuwa ghafla?
Mlianza kitambo indeed wakati Dar ni uswazi kushoto kulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…