Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuanze na BRT, leta BRT mlionayo so far tupo on design completion to start phase 6, yenu phase 1 iko wapi?
 
Sasa hivi kweli unanitambia mimi hii 1 million Tz money.? 🀣🀣🀣.

Kuwa na aibu, ficha ujinga watu wakuone una maana.
Pole kwa maumivu. Wewe hata Tsh 300 bob hunaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Imagine that’s the money that I don’t need, it was just lying idle nikaamua to invest it somewhere.
 
Pole kwa maumivu. Wewe hata Tsh 300 bob hunaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Imagine that’s the money that I don’t need, it was just lying idle nikaamua to invest it somewhere.
🀣🀣🀣 dah.!! πŸ™ŒπŸΎ nimekushindwa
 
acha kutuwekea pesa za kudownlod leo tunataka utuwekee sehem ficial unayopatia pesa we si tajiri buana. anyway 129,000*21 ni hela ndogo sana kwa kusema unaweza tambia humu.
Ebu niambie nimezidownload wapi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚

Umezoea kuomba mapicha unadhani wote ni Kama weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
hana hela huyu kapuku. angekuwa na hea angekuwa ashatupostia mpaka picha za uvunguni kwake sasa hiyo hela hana na bado anaishi kwao tena kwenye slums. abishe kama anaproof
Huyo ni kichaa utasumbuananae milele.. 🀣🀣 tabia ya watu maskini huko kundurenda ndio hio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…