Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ongeza na hii hopo ni CBD

 
Kumbe na nyie mnapenda running track nilifikiri ni sisi tuu
Soma historia . The stadium was built in the 80s for the 4th All African Games ( so track ni lazima just like an Olympic stadia)plus we are a running nation.
Talanta will be pure Football or Rugby kama Ulaya na Marekani ..
Btw … why keep on adding track lanes in your new stadiums ( you are not a running nation)
New Arusha iko nazo
New Dodoma iko nazo
Talanta will be the most amazing stadium in the region
 
Serikali yetu sio ya wenda wazimu mzee.

Hatufanyi vitu kwa kugeza jirani kafanya nini.

Arusha ni mji wetu ambao ni very strategic hatuwezi jenga uwanja huko uwe wa football tu kwasababu hizi.
1. Arusha si mkoa unaofanya vizuri kimpira Tz (only city in Tz with no football team participating TZ premium league)
2.kujenga uwanja wenye running track Arusha kutaipa mji fursa ya ku host events mbali mbali za ki Olimpiki ukiachana na mpira wa miguu (ukizungatia Arusha ni mji wa kitalii)
3.and of course uwanja wa namna ile utaipa Arusha fursa pia ya ku host events za kitaifa kiserikali na social events zingine za namna hiyo.
 
Tena Arusha ndo wamebaki nyuma na vipanya vyao, japo nao wana coaster mpya mpya siku hiz. Route ya Arusha Moshi ina coaster nyingi nzr nzr mpya.

Miji kama Morogoro imeachana na vicoaster, Mwanza route zao ndefu ni coaster, Dodoma pia

Haya mwambie alete matatu za Mombasa au Nakuru au Kisumu ( hii ndo ni boda na baiskeli kabisa)

Kwa Dar route nyingi zinategemewa kuwekwa mwendokasi why should someone bring a new Daladala wakati ataondolewa road muda wowote?


Hii ni stendi kuu ya Nairobi check ilivyo na magari yao

View: https://youtu.be/laOuukHt7hw?si=8Inq5Z10vfUePmbY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…