Hii si ni hile washabiki walikubaliwa kuingia bure?ππHawa ni watu 17k kwene huu uwanja unatupigia kelele.?. π€£π€£ hii ni full house 60k+ people.ππΎ View attachment 3287913View attachment 3287915hadi wengine wanabaki nje.
Hii itawachukueni mwongo mmoja labda kufikia.
Derby ambayo last time ilifail miserablyMna safari ndefu kuifikia derby namba 3 kwa afrika,kkoo derby
Bila kulipaHawa ni watu 17k kwene huu uwanja unatupigia kelele.?. π€£π€£ hii ni full house 60k+ people.ππΎ View attachment 3287913View attachment 3287915hadi wengine wanabaki nje.
Hii itawachukueni mwongo mmoja labda kufikia.
Naongelea NairobiWalker . Mimi mambo yangu huyawezi wee kima. You're the only person on this forum who brags about travelling in his own country. Jiulize hayo maswali.Nchi ipi ulitembea we mbwa.? π€£π€£π€£
Post picha zako hapa huko nchi ulizofika.
Hapo kwemu kenya emyewe ukiachana na kijijini kwenu ulipozaliwa, labda ulifika Naipori pekee.
Uwanja uko kilomita Moja kutoka kwa fans πππHawa ni watu 17k kwene huu uwanja unatupigia kelele.?. π€£π€£ hii ni full house 60k+ people.ππΎ View attachment 3287913View attachment 3287915hadi wengine wanabaki nje.
Hii itawachukueni mwongo mmoja labda kufikia.
Kuna dabi ipi imeshawahi kuchezwa bila viingilio.? π€£π€£ au unazusha habari zisizokuwepo.?Bila kulipa
Sio tu bragging, I am really proud of travling all around my country. Wewe umesafiri wapi kima wewe.? π€£π€£π€£Naongelea NairobiWalker . Mimi mambo yangu huyawezi wee kima. You're the only person on this forum who brags about travelling in his own country. Jiulize hayo maswali.
Kunakua na dabi mbili kila mwaka, unatakanipost picha za dabi ipi.? π€£π€£π€£Hii si ni hile washabiki walikubaliwa kuingia bure?ππ
For your information Nyayo is 30k full parked.
Ati umetoka Tanga hadi Dar sasa hilo ni la kuringia watu. Unaitaji exposure wee baboon.Sio tu bragging, I am really proud of travling all around my country. Wewe umesafiri wapi kima wewe.? π€£π€£π€£
Derby ambayo last time ilifail miserably
Derby ya kuingia bure?
Mbona unanirudisha Tanga hadi Dar.? π€£π€£Ati umetoka Tanga hadi Dar sasa hilo ni la kuringia watu. Unaitaji exposure wee baboon.
Mabwege haoKuna dabi ipi imeshawahi kuchezwa bila viingilio.? π€£π€£ au unazusha habari zisizokuwepo.?
watu 42k wabadai kurudishiwa viingilio vyao baada ya mechi ya Simba vs Yanga kuhairishwa. Wewe unasema ni mechi za bure.?
Derby za kuingia free usituletee hapa tafadhali.Kunakua na dabi mbili kila mwaka, unatakanipost picha za dabi ipi.? π€£π€£π€£
Ulifkiri sisi ni nyinyi.? π€£π€£π€£ mara zote dabi ya Kariakoo inapiga full house.
Siku washabiki wataanza kulipa gate in your derbies njoo tuongee.
View: https://youtu.be/CDx1hOrzO80?si=S15KDYtolWTae9Q9 kiderby chenu hata derby yetu ya wanawake bado hamjaifikia,pambaneni sana
Lini awakulipa ww fala?Siku washabiki wataanza kulipa gate in your derbies njoo tuongee.
Hakuna dabi ikiyowahi kuchzwa bure. Usitafute pa kukimbilia. π€£π€£π€£Derby za kuingia free usituletee hapa tafadhali.
Sasa siku utavuka border uingie nchi jirani huku kutakalika kweli? Maanake umetembea 1/3 ya Tanzania pekee unajiona gwiji wa kutembea.Mbona unanirudisha Tanga hadi Dar.? π€£π€£
Nimeishi au kufika na kukaa walau wiki moja mikoa 20 Tz hii.
Achana na ile mikoa ambayo nimeputa njia tu. π€£π€£π€£
Ningefanya hivyo kenya, ni umbali wa kuizunguka kenya nzima na Nusu ya Uganda..
wewe umesafiri wapi mbwa hii.?
Wewe umetembea wapi.? Unanipigia kelele tu. π€£π€£π€£Sasa siku utavuka border uingie nchi jirani huku kutakalika kweli? Maanake umetembea 1/3 ya Tanzania pekee unajiona gwiji wa kutembea.
Ebu tuonyeshe ni lini ulilipa? Na utuonyeshe ticket hapa.Lini awakulipa ww fala?