Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Magofu ya mradi uliokufa wa mfumo wa usafiri wa mabasi ya mwendokasi jijini Nairobi huku saccos za matatu zikizidi kuota mizizi kama usafiri wa kutoka na kuingia CBD kwenda Murang'a, Kirinyaga, Kiambu n.k kulala baada ya hekaheka za mchana kutwa kutafuta fedha mjinikati Nairobi

13 April 2025
Nairobi, Kenya

2 Billion Kenya shillings gone and no Bus Rapid Transit System , BRT


View: https://m.youtube.com/watch?v=SZNhpz3QLw4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…