NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,361
- 19,764
You don't understand. Stolen things aren't transported on normal transportation channels. They're smuggled and in this case the smugglers are very powerful people including presidents. You don't tax smuggled goods. Your country won't earn a dime from it.Kumbe huelewi , hiyo ni kwa ajili ya sgr tu, kusafirisha tu
Hivo ndivo mnavyodanganywa na wanasiasa wenu Kila sikuNani alisema?
Sisi huwa hatuchokozi huwa tunajibu tu, halafu mbona kama unaumia sana Tanzania kupiga vikwazo bidhaa za kilimo za SA na malawi?
Tumechokoza nani! kujibu ni kuchokoza?
View: https://x.com/husseinbashe/status/1912767764927746173?s=46
Pengine kama ukona Ethiopia yako na hatujui. Hizo transmission lines tunazijenga kama kila mwezi, endeleeni kujiliwaza bongolalas.kwani huoni ki line kinacho elekea Ethiopia hapo tena ni Ki line cha DC.😁 usiingie ubaridi mzee endelea kukumbatia ba kujiliwaza na vidata vyenu tuu.
Ingekuwa hivyo kwenye makaa ya mawe , Kaa kwa tulia huwez kusmuggle mzigo wa tan 20000. Hii sio KongoYou don't understand. Stolen things aren't transported on normal transportation channels. They're smuggled and in this case the smugglers are very powerful people including presidents. You don't tax smuggled goods. Your country won't earn a dime from it.
Unadanganywa vipi kwenye vitu vinavyoonekana?Hivo ndivo mnavyodanganywa na wanasiasa wenu Kila siku
You're no more closer to Malawians or South Africans than Kenya
Ndugu zenu Sudan na Somalia huko tutokee hapa nani anataka undugu na nyangau man eating man society.You're no more closer to Malawians or South Africans than Kenya is.
Comedy iyo we umechukulia serious, muuza madafu gn yupo hvyo, usije kushangaa ni viblog vya wakenya wameshikilia bango suala la wachina ili tuwafukuze cz wameshagundua wachina wameanza kuifanya Dar kuwa Dubai of East and Central Africa.Sasa unataka kucompare hio 106 billion investment na hii yenu ya kuuza madafu. 🤣🤣
View: https://x.com/HildaNewton21/status/1902967147598336052?t=0HqLZwbkC4gbRW37HELnPg&s=19
Kenyan service export alone is $10B, hapo hujaongeza export of goods.Ili ujue hizi GDP ni usenge angalia Tanzania ina export business worth of 16B$ lakini Kunyaland inayoexport 8B$ almost equal to Burundians eti ina GDP kubwa 😂😂😂
What is metropolitan?Naipori ni ndogo sana wala haifai kuitwa metropolitan city maana maeneo yote mnayosema ni metropolitan areas ziko county nyingine na sio part of Naipori.
Huwa hawaelewi the reality of the world.You don't understand. Stolen things aren't transported on normal transportation channels. They're smuggled and in this case the smugglers are very powerful people including presidents. You don't tax smuggled goods. Your country won't earn a dime from it.
Comedy gani na hata viongozi wenu wanajua.Comedy iyo we umechukulia serious, muuza madafu gn yupo hvyo, usije kushangaa ni viblog vya wakenya wameshikilia bango suala la wachina ili tuwafukuze cz wameshagundua wachina wameanza kuifanya Dar kuwa Dubai of East and Central Africa.
KQ doesn’t dwell on domestic, hizo ni za low cost airlines like Jambojet etc. Your airline can’t make profit because it dwells on shorter distances while using bigger planes.i mean air Tanzania flies to more domestic destinations than KQ, how many domestic destinations does KQ fly to
I’ll take this with a pinch of salt, Ebu tuonyeshe hizo data.Hizo data similar za IMF says total investment za TZ ni kubwa kuliko za KE by 10bil usd , so whatever the projects maana sijui zote Tanzania ranks higher, mmetuzidi production for now and that is GDP but total investments tanzania iko juu and future bado tutakua juu
I can see you have come back to your sense after nimekupea somo about currency effects in an economy.kuhusu GDP yetu kuperform below exepcted shida ni currency na ni kutokana na demand kubwa ya dollar and guess where the dollars go to investement which we have done it 10bil usd more than you have , na hivyo lazima currency yetu iwe under pressure
You don’t produce more than Kenya, show me your effective power output we compare na ya Kenya.BTW mmeinvest kwenye solar, wind na geothermal kuliko sisi but we currently produce more electricity than you
hivi Ukunyani hamna Wachina? Wale walikuwa wanawanyuka viboko?Comedy gani na hata viongozi wenu wanajua.
View: https://x.com/Mwanahalisitz/status/1905565187106570303
Achana nao.Ili ujue hizi GDP ni usenge angalia Tanzania ina export business worth of 16B$ lakini Kunyaland inayoexport 8B$ almost equal to Burundians eti ina GDP kubwa 😂😂😂
Pipeline ikianza operation sio Tu itakuwa at par to Tzs bali pia itakuwa pesa yenye thamani kubwa na nguvu zaidi EA ikifuatiwa na Tzs japo viongozi wa nchi yangu wamelala sn na siwaelewi lengo lao nn kuhusu nguvu ya Tzs.
Kutangaza au kutandaza mkuuAchana nao.
Ukweli wanaujua sana.
Ati GDP yao imepanda kwa $29billion within a year😂. Then Ruto is the best president ever.
What matters is to solve country problems, leo nimeona wanaanza kutangaza reli ya kuelekea Bandarini kuunganisha na SGR maeneo ya chang'ombe. Soon cargo operations zitaanza