Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni vizuri umesema Namibia, Botswana na Gabon. Ungesema Vumbistan ningejua ushaakuwa mwendazimu.
 
Bado ni expensive kwa crate Moja kuuziwa 2700ksh hiyo ni sawa na 54000 kwa kreti Moja ambayo ni almost tsh2835 kwa chupa hapo mmeuziwa jumla ila bei ya Serengeti lager kubwa kwa bei mtaani ni 2000 - 2500 ambayo inakuwa ni ndogo kuliko bei zenu za wholesale.
Serengeti lager kubwa kwa bei ya retail ni sawa na ksh 119
 
Kumbuka tusker inakuja kwa chupa ya 500mm, Castle lite inakuja kwa chupa ya 330mm. Fanya hesabu zako kama ushawai kanyaga shuleni.
 
Unachekesha sana unavyojaribu kukataa mambo ya wazi kabisa😂
 
Kumbuka tusker inakuja kwa chupa ya 500mm, Castle lite inakuja kwa chupa ya 330mm. Fanya hesabu zako kama ushawai kanyaga shuleni.
KUna Serengeti lager ya mm 330 ambayo in retail inauzwa 2000 kwenye bar ndogo inauzwa 1500tsh
Serengeti kubwa ndo hiyo bei uliyowekewa hapo na crate ya mm500 inauzwa 42,000 tsh sawa ksh 2000 utofauti ksh 700.
 
Kumbuka tusker inakuja kwa chupa ya 500mm, Castle lite inakuja kwa chupa ya 330mm. Fanya hesabu zako kama ushawai kanyaga shuleni.
Hiyo hesabu amekwambia ni Serengeti lagger kubwa 500ml.
By the way, if the commodity prices are comparable to Kenya vs Tz then why you guys feel the pinch for every 5cent price increment for sukari au unga that triggers nationalwide crisis? You are proving a point that affordability is an issue in your country. Ufukara.
 
Because we are not meek like you. It's not like you don't feel the pinch, you're just cowards. There are rich countries where people take to the streets for price increases. Same way we occasionally go to the streets due to extrajudicial killings. You've never done the same yet the vice is bigger in your country.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…