No, we don't feel the pinch mate, hatufanani. The whole country mnakula ugali na sukumawiki kama mbuzi.Because we are not meek like you. It's not like you don't feel the pinch, you're just cowards. There are rich countries where people take to the streets for price increases. Same way we occasionally go to the streets due to extrajudicial killings. You've never done the same yet the vice is bigger in your country.
Nilipost hapa that I was using my Kenya shillings in Dar, na walikuwa wanapinga my personal experiences ππHiki ni kicheko. Enda Vumbistan na pesa ya Kenya hakuna mwenye ataikataa, Sasa itakuwa dollar ya marekani?πππ
Kuzidi in terms of what?Embu tupe Airport moja ya kwenu outside Naipori inayoizidi Airport ya mbeya. Tuanzie hapo kwanza.
There is only 1 international airport in Kenya.Kuzidi in terms of what?
Mimi nilijua kuwa Kuna price tags za Kenya shilling hicho alichofanya ni msaada tu, aliona kuliko apoteze mteja Bora umlipe kwa ksh then yeye anaenda tu pale ofisi za classic au kidia anabadilisha na kupata faida mara mbili.Nilipost hapa that I was using my Kenya shillings in Dar, na walikuwa wanapinga my personal experiences ππView attachment 3325091View attachment 3325092View attachment 3325093
OkayThere is only 1 international airport in Kenya.
Sasa unajifanya ni kama unaelewa the situation, we jua tu kuwa ninaweza kutumia sarafu ya Kenya nikiwa Tz, period πMimi nilijua kuwa Kuna price tags za Kenya shilling hicho alichofanya ni msaada tu, aliona kuliko apoteze mteja Bora umlipe kwa ksh then yeye anaenda tu pale ofisi za classic au kidia anabadilisha na kupata faida mara mbili.
Hiyo ni illegal business
Ila hawa watu wanapenda kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu, kwamba unaweza kufanya malipo Tanzania kwa Kenya shilling πππ. Nyerere aliwahi sema upumbavu ni kipaji.Mimi nilijua kuwa Kuna price tags za Kenya shilling hicho alichofanya ni msaada tu, aliona kuliko apoteze mteja Bora umlipe kwa ksh then yeye anaenda tu pale ofisi za classic au kidia anabadilisha na kupata faida mara mbili.
Hiyo ni illegal business
Hii nayo ni mpya πππSasa unajifanya ni kama unaelewa the situation, we jua tu kuwa ninaweza kutumia sarafu ya Kenya nikiwa Tz, period π
You do bro. I was in Dar yesterday, you're poor. Dirt poor. Wacheni kujifariji. You're extremely poor. In fact poverty should be your second name. Kwanza huo mkoa wa Pwani ni fukara sana. Hadi unashangaa, mashamba mengi, mvua ipo ila watu ni mafukara.No, we don't feel the pinch mate, hatufanani. The whole country mnakula ugali na sukumawiki kama mbuzi.
In the region Tanzania is the most advanced county when it comes to agriculture.
Hizo nchi tajiri huwa mnapenda kutaja kwa kujifariji kwenye umaskini wenu hakuna hata Moja isiyojitosheleza kwa chakula.
Tanzania produces more food than it needs, Unadhani kwanini Tanzania feeds the entire Kenya ?
Tanzanians love the Kenya shilling. Ndio maana Rais wao anapigana sana wasitumie foreign currencies. Hapa Kenya jaribu kupeana shillingi madafu ya bongolala utashangaa. π€£ π€£Nilipost hapa that I was using my Kenya shillings in Dar, na walikuwa wanapinga my personal experiences ππView attachment 3325091View attachment 3325092View attachment 3325093
Hauwez tumia labda illegally, ili tuweze kuseme unaweza tumia ilitakiwa utuoneshe ni wap price quotes za bidhaa mbalimbali zimewekwa kwa ksh. Tanzania wafanyabiashara wengi hupokea hela hata ikiwa ya Burundi maana wanajua wanaweza kuzichange ila huwez Kuta price tags zikiwa kwa hizo currency husika.Sasa unajifanya ni kama unaelewa the situation, we jua tu kuwa ninaweza kutumia sarafu ya Kenya nikiwa Tz, period π
Unaweza tumia ila ukiwa umeibiwa na ukajiona mjanja kumbe umeibiwa,π€£π€£π€£π€£π€£Sasa unajifanya ni kama unaelewa the situation, we jua tu kuwa ninaweza kutumia sarafu ya Kenya nikiwa Tz, period π
Wana strong defense and military things in the region huku rais anachezea lakuchumpa la uso ππππTaifa la kinyangβau hili π€£π€£π€£ ona hii ππΎ
View: https://www.instagram.com/p/DJPNI1NKD-B/?img_index=1&igsh=MW4zOXI0b3lvNGxiZw==.
Not to the extent of queuing for food donations tho,,You do bro. I was in Dar yesterday, you're poor. Dirt poor. Wacheni kujifariji. You're extremely poor. In fact poverty should be your second name. Kwanza huo mkoa wa Pwani ni fukara sana. Hadi unashangaa, mashamba mengi, mvua ipo ila watu ni mafukara.
Ila wewe ni mbishi ajabu. Amekwambia alinunua bia ya 330ml hapo Bongo kwa KES 130 na hapa Kenya bei ya 500ml ni KES 200, mara ukaanza eti mna bia ya 500ml, ukaja eti hajafika Tanzania sasa saahii unauliza wholesale price. Mbona usipinge hoja yake kwa facts? Amesema ukweli ama uongo? Serengeti lager ni pesa ngapi?Tufanye hivi,
What is the wholesale price of a cheapest local unit beer brand in Kenya ? Labda tuanzie hapa kulinganisha. For your comparison to resonate
Pole pole, chunga usinyongwe na wivu.There is only 1 international airport in Kenya.
Hivo ndio mnavyoaminishwa. Kiukweli ni kwamba umaskini Tanzania upo, tena kwa wingi sana. Mimi Tangu nizaliwe sijaona yeyote akipewa chakula cha msaada. Chakula cha msaada hupewa maeneo ambayo yalikumbwa na instability kwa muda mrefu huko Northern Kenya na kuna wakaazi wachache sana hayo maeneo ila kwa sasa hiyo region imeanza kupata stability ndio maana siku hizi ni nadra upate wakiletewa misaada. Soon mambo ya misaada yatakuwa history.Not to the extent of queuing for food donations tho,,
Unlike you guys, majority Tanzanians afford decent meals daily,
Hapo kwenye mvua ni sawa ila pia kumbuka Tanzania Ina miradi mikubwa Zaidi ya kilimo Cha umwagiliaji kuliko nchi zote za Africa mashariki combined. A reason you see thousands of Tanzanian trucks bringing supplies to Kenya.
Wakundustan wanafikiri tunawategemea wao πππ Angalia poa Zambia wanavyochangamkia kariakoo, wakundustan watafikiri wao pekee ndio wateja wa kariakooOya wakuu sisi tuko na potential bhana. Heb Cheki hizi chuma bomba la msururu wa chuma heading to south ππΎ.
View: https://www.instagram.com/reel/DJM7tTnMroy/?igsh=MWgwdWp2bHNiMzJrdQ==. We feed Africa Yoo.
Kama alinunua kwa bei hiyo ya ksh 130 Tena 330mm asijifisie walimuona zoba bei ya Serengeti lite/lager za mm 330 kwa retail ni 2000tsh sawa na 95ksh kwa hizo bei anazotaja ni wazi hamjafika Tanzania bali kaambiwa . Tanzania ukinunua bia 3 unalipa tsh 5000 tsh sawa ksh 239 au per bottle ni 79kshπ€£π€£π€£Ila wewe ni mbishi ajabu. Amekwambia alinunua bia ya 330ml hapo Bongo kwa KES 130 na hapa Kenya bei ya 500ml ni KES 200, mara ukaanza eti mna bia ya 500ml, ukaja eti hajafika Tanzania sasa saahii unauliza wholesale price. Mbona usipinge hoja yake kwa facts? Amesema ukweli ama uongo? Serengeti lager ni pesa ngapi?