concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,486
Leta barabara ushago kwa sababu ndo level zake hizo, yaani kileleshwa na mbagala hakuna tofautiAgain comparing oranges to apples. Eastleigh a densely populated urban area unacompare na ushago. It's either wewe fala ama ukona self-esteem issues.
View attachment 3325257
What a problem kiwana kuuzwa? Nairobi haina viwanja.Again comparing oranges to apples. Eastleigh a densely populated urban area unacompare na ushago. It's either wewe fala ama ukona self-esteem issues.
View attachment 3325257
πππππSiku sio nyingi kitawaka ππππ
View: https://x.com/Kenyans/status/1919353821114863725?t=xRAy6oU_zi0sKWn4aQSZ3w&s=19
Kijichi Iko wilaya ya temeke ambako ndo wilaya inayosemekana Ina maskini wengi najaribu kumuonesha upande wa pili wa temeke hatujafika mikocheni.hawa wote wako middle class area.
Wamezoea slums lazima ashangae eneo kuuzwaWhat a problem kiwana kuuzwa? Nairobi haina viwanja.
Eti anataka kutuonesha kuuzwa kiwanja ni problem. Wakenya ni wapuuzi sana.Wamezoea slums lazima ashangae eneo kuuzwa
Kama hii ndio Kileleshwa ya Dar is a slum basi mkona a long way to go.Leta barabara ushago kwa sababu ndo level zake hizo, yaani kileleshwa na mbagala hakuna tofauti
Kwa kukusaidia tu kutoka daraja la kigamboni mpaka hapo muongozo ni 21 km na kutoka posta tu ambayo imepakana na kigamboni ni km30 hiyo distance kwa Nairobi ushafika athiriver ndo mjue dar es salaam ni kubwa sana tukisema tuweke majengo tu yaliyopo dar kwa Nairobi hata sehem ya kujamba mtakosaAgain comparing oranges to apples. Eastleigh a densely populated urban area unacompare na ushago. It's either wewe fala ama ukona self-esteem issues.
View attachment 3325257
Haha kumbe umekubali kileleshwa ni level za mbagala sioπ€£π€£π€£π€£π€£Kama hii ndio Kileleshwa ya Dar is a slum basi mkona a long way to go.
View: https://x.com/eastafricatv/status/1900505996692246776?t=37guSn0UHKBZDYNjaNh_CA&s=19
Kigambonibtu inalingana na Nairobi nzimaEti anataka kutuonesha kuuzwa kiwanja ni problem. Wakenya ni wapuuzi sana.
Dar es salaam is almos x3 bigger than Nairobi, Hauna Slums, Hakuna pori.
Nairobi National Park 117 kmΒ² π π πKigambonibtu inalingana na Nairobi nzima
Kigamboni Municipal Council in Dar es Salaam has an area of 577.86 square kilometers.
Nairobi covers an area of approximately 696 square kilometers. This area includes the city and its surrounding area, which also forms the Nairobi County.
Sasa tena umewachana na Eastleigh ushafika Athi River.π€£π Nairobi itakumaliza na stressKwa kukusaidia tu kutoka daraja la kigamboni mpaka hapo muongozo ni 21 km na kutoka posta tu ambayo imepakana na kigamboni ni km30 hiyo distance kwa Nairobi ushafika athiriver ndo mjue dar es salaam ni kubwa sana tukisema tuweke majengo tu yaliyopo dar kwa Nairobi hata sehem ya kujamba mtakosa
Ndo maana nimemuambia kileleshwa ni ya kulinganisha na mbagala tu. Kijichi tu itawatoa ndukiNairobi National Park 117 kmΒ² π π π
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Sasa tena umewachana na Eastleigh ushafika Athi River.π€£π Nairobi itakumaliza na stress
Yaan kwa akili zako unaona Nairobi ni kuleta stress mji ambao kwa baiskeli tu unaumalizaSasa tena umewachana na Eastleigh ushafika Athi River.π€£π Nairobi itakumaliza na stress
Kumbe hivyo ndio hua mnaota.π€£π€£π€£Haha kumbe umekubali kileleshwa ni level za mbagala sioπ€£π€£π€£π€£π€£
Haha π π π π πKileleshwa ya Dar is a slum
π€£π€£π€£ Enyewe umaskini ni mbaya.
View: https://x.com/lumixha/status/1902766560453788108?t=2R3B7n8ppkqlL6zi-MYagg&s=19
Sasa kataa kuwa kileleshwa sio level za mbagala wewe mwenyewe unakubali kuwa kileleshwa inalingana na mbagalaKumbe hivyo ndio hua mnaota.π€£π€£π€£
View: https://x.com/fact255/status/1850795140022947998?t=4BwYG-mtMWfa2UCblCdkOA&s=19
Kileleshwa ya ushago.π€£π€£Sasa kataa kuwa kileleshwa sio level za mbagala wewe mwenyewe unakubali kuwa kileleshwa inalingana na mbagala