Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona suala wachina linakuuma moyo while huko kwenu wazungu wametawala all over.. uchumi wenu wanaushikilia katika kila upande, maeneo yote mnayoyapost humu majority ya raia wanaioishi humu ni wazungu.?
Umewai skia mkenya hapa aki complain kuhusu foreigners? Nyinyi bongolala ndio mnakuanga hypocrites, complaining about everything that happens in Kenya, sasa naona mshaanza kucomplain eti Kenya kuna vernacular media, yes tukonazo and we love them. Mkona shida na our local languages kwa media stations lakini hamna shida na wachina kutumia lugha yao everywhere across every establishment in dar is a slum. True hypocrites. 🤣 🤣 🤣
 
Hii takataka imetoka wapi?
 
Ni wapi ndani ya Tanzania eti wachina wameanzisha maeneo yao na lugha zinazotumika ni kichina tu.? Hizo kazi watafanya na wachina wenzao.? Mbona wewe unakuaga kiande hivi.? Yes wapo watanzania wengi tu wanaoongea mandarin.
 
Ni wapi ndani ya Tanzania eti wachina wameanzisha maeneo yao na lugha zinazotumika ni kichina tu.? Hizo kazi watafanya na wachina wenzao.? Mbona wewe unakuaga kiande hivi.? Yes wapo watanzania wengi tu wanaoongea mandarin.
Advertisements zao kila mahali si wanafanya na kichina. Yani Dar is a slum kila mahali inageuzwa China Town. Lakini shida yenu kuu ni vernacular media in Kenya. 🤣 🤣 🤣
 
Watu wanaongelea Passengers numbers lakini wewe na ujinga wako unatuletea aircraft movement. Guess what hata hiyo aircraft movement Kenya is three time ya Tanzania.
Huyo hua mjinga, I rarely engage him. 🤣🤣
 
Ingekua Tanzania hakuna rangi hao watu wangeacha kuiona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…