Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenyans will kill me one dayπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuhusu activist haijalishi kama anti-government ama laah.
Hata Malala alikua akipinga serikali ila kilichofanya thamani yake kuwa kubwa ni kuungwa mkono na watu.
Embu kamsome huyo Binti huwenda utajua nini namaanisha.
Ila ona sasa watu wa Kenya mwaonekana hamuna nguvu ya ushawishi zaidi ya matusi tu.
Mngelikua mna nguvu ya ushawishi kama watu wa Afghanistan na Pakistan walivyompazia sauti bint Yousaf Zai hao wasinge hata guswa.
 
Lakini unaunga mkono wao kuingilia mambo yetu.?

Anyways, binafsi ningetamani akae rumande walau kwa miezi minne flani hivi. πŸ˜† ale maharage mabovu buana ili akitoka akawadithie wenzie..
Apelekwe Gereza la Rukwa akalime mashamba ya mahindi hiyo miezi minne. Na nasikia anafunguliwa kesi ya kupanga njama ya kuangusha Serikali ya Tanzania. Hivi kesi hii adhabu yake ni nini?
 
Hajarudishwa, mkewe analia uko kunyarenda, kijamaa hakijulikani kilipo. πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸΎ
View: https://www.instagram.com/reel/DJ6g9QWts_5/?igsh=MXUxM2VmNjBuNXZldw==. Hii ikawe fundisho kwa wajinga wenzao.
Huu ndo umafia sasa!! Acha tuwaoneshe!!! Angebaki zake hapo Naipori haya yote yasinge mkuta. Anavuna alichopanda!!
Mimi nawashauri tu wanaharakati , haswa wa Kenya, waje tu huku kumpigania na wantoe, kwa udi na uvumba!! πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…