Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hiyo akili yake fupi naona huyo anayemuita primary school dropout ana akili kumzidi.
Facts.
 
Ananunua kwa sababu serikali yake ya CCM imeshindwa kununua, lakini akifika bungeni kazi nikuimba CCM instead of lobbying wizara ya Afya inunulie constituents wake ambulance. 🤣 🤣 🤣 Alafu munadhani hizo ni pesa zake. Enyewe munaongzwa na mafala na nyinyi pia ni mafala.
 
Lakini slums sio kibera tu Kuna nyingine nyingi na nusu ya wakazi wa Nairobi wanaishi kibera mliobaki mnaishi kwenye slums nyingine
 
Ndio nakuliza Kwani Tanzania hakuna established bank which can come to Kenya as not new banks. We see Nigerian banks coming to Kenya every year, why not Tanzanian banks?
Did the ban, not involve subsidiaries?
 
Kwanza tuwaoneage huruma tu maana mnatiaga mpaka huruma
 
Ukimsikiliza Rostam Aziz wakati ule wa mjadala Kenya, utajua kabisa Kenya ni wahuni.


View: https://youtu.be/gBePZBo4wFo?si=HCuk4FakiDLxDC1z
Wakishashindwa ushindani wanakimbiliaga kutengeneza vikundi.
Nalikumbuka hili saga na Lile la Azam alipotaka kufungua kiwanda cha ngano Mombasa. Hawa ni waoga wa competition.
On hii nyingine
 
Taja bank moja iliyosajiliwa as an international subsidiary during the ban
Access Bank entered the market by acquiring Transnational Bank. Absa Bank acquired Barclays Bank and entered the Kenyans market. Wacha excuses.
 
Taja bank moja iliyosajiliwa as an international subsidiary during the ban
Hajui kisa cha kuzuia ilikuwa sababu ya imperial bank na Dubai bank ambayo ilikuwa subsidiary bank of Oman🎶🤣🤣.
Kwahiyo walitaka crdb akafungue tawi jipya wakati kwa Kenya ingekuwa ni benki mpya kwa hiyo vigezo visingepita.
Subiria abood na bm wawapelekew moto kwenye transportation uone miezi mitatu tu utaanza sikia figisu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…