concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,486
Congratulation kwa sababu kwa Leo kwa mara ya kwanza kujua Nairobi metropolitan ni tofauti sana Nairobi city , maana siku zote mlikuwa hata hamuelewiπ€£π€£π€£π€£Congratulations! First Bongolala to know what a Metropolis is ..πππ
Wameshindwa kulinda mipaka yao tu wataweza kushindana na bongoWacha kuangalia movies mama wewe π€£π€£ movies zinakudanganya mtu mzima mjinga
Hio punchline ni moto π€£ππ€£β¦ ask the speaker, ask the clerk ππKenyan Gen-Z have made Tanzanian government to remove all the information of their MPs from the parliament portal. Damage wakenya wamefanya is so bigππππ€£
View attachment 3350006
Stop projecting much . Itβs showing π€£πCongratulation kwa sababu kwa Leo kwa mara ya kwanza kujua Nairobi metropolitan ni tofauti sana Nairobi city , maana siku zote mlikuwa hata hamuelewiπ€£π€£π€£π€£
Now give us the definition of dream house ( hio hatujui)ππCongratulation kwa sababu kwa Leo kwa mara ya kwanza kujua Nairobi metropolitan ni tofauti sana Nairobi city , maana siku zote mlikuwa hata hamuelewiπ€£π€£π€£π€£
Hivi opareshi gani mshawahi fanikiwa kama Kenya maana hata hiyo ya somalia bado inawasumbuaπ€£π€£π€£π€£Stop projecting much . Itβs showing π€£π
π€£π€£π€£π€£.Now give us the definition of dream house ( hio hatujui)ππ
Kenya is failed stateCongratulations! First Bongolala to know what a Metropolis is ..πππ
What happened to you Icho?.. you donβt say much nomore, just photos. Kwani nyumba yako imekuwa bombed na Israelis huko Yemeni ππ.. jk ( uchokozi tu). We miss you
π€£π€£π€£π€£Actually based on actual military capabilities, KDF can occupy Dar probably in a few days. First neutralize their ancient air power capability, then shut down all communications within their borders (Kenya has that capacity), this would scatter their defenses like chickens without heads . Drone out any pockets of resistance then just march across .ππ
Unaweza kutuletea total revenue collection ya wajir for a year ( own source (osr)) hazifikii hata nusu ya province ya Tanzania inayokusanya kiasi kidogo kuliko zote?
Wajir sqm 55,000 km collection 164,000,000 ksh =1,271,000. Usd
Rukwa sqm 27,000
Collection 10bil tzs = 3,770,000 usd
Kenya Kuna uneven distribution of wealth kati ya county 47 ni county 17 tu ndo zenye uwezo wa kukusanya zaid ya 1bil per year
While in Tanzania bara kati ya mikoa 25 ni mikoa mitano tu haiwezi fikia 1bil ksh
Top 10 Counties in Revenue Collection in Kenya
A list of top 10 counties in revenue collection in Kenya.blog.afro.co.ke
Imagine county nzima inakusanya ksh 92mil na imepitiwa na mto mkubwa kuliko mito Kenya na Ina ukubwa zaid ya mkoa kilimanjaro au mtwara
Dodoma nje ya mji hakuna shughuli yoyote inayofanyika sababu ni pakavu balaa .
Mbeya mazingira yanaruhusu kilimo karibia msimu wote ndo maaana Kuna tofauti kubwa sana .
Ukiangalia mikoa mingi kama njombe ,songea,mtwara nyingi mapato yake ni mazao.
Ukiangalia mapato ya wilaya zote za mtwara 70% ni korosho+ ufuta+mbaazi+ karanga
Njombe miti
Songea mazao
Jibu kama msomi, Wacha kujibu kishabiki just to soothe yourself with skewed reasoning, numbers never lie, kelele mtawacha, ukweli umebainika wazi waziπ€£π€£Unaweza kutuletea total revenue collection ya wajir for a year ( own source (osr)) hazifikii hata nusu ya province ya Tanzania inayokusanya kiasi kidogo kuliko zote?
Wajir sqm 55,000 km collection 164,000,000 ksh =1,271,000. Usd
Rukwa sqm 27,000
Collection 10bil tzs = 3,770,000 usd
Kenya Kuna uneven distribution of wealth kati ya county 47 ni county 17 tu ndo zenye uwezo wa kukusanya zaid ya 1bil per year
While in Tanzania bara kati ya mikoa 25 ni mikoa mitano tu haiwezi fikia 1bil ksh
Top 10 Counties in Revenue Collection in Kenya
A list of top 10 counties in revenue collection in Kenya.blog.afro.co.ke
Imagine county nzima inakusanya ksh 92mil na imepitiwa na mto mkubwa kuliko mito Kenya na Ina ukubwa zaid ya mkoa kilimanjaro au mtwara
Paper tiger. Tukiomba kuona shughuli mnafanya kwa hizo counties so that you can have those figures utatuonyesha.?Jibu kama msomi, Wacha kujibu kishabiki just to soothe yourself with skewed reasoning, numbers never lie, kelele mtawacha, ukweli umebainika wazi waziπ€£π€£
Yaani unajaribu kujiliwaza with a skewed analysis or reasoning? Fanya comparison analysis moja baada ya nyingine, Kisha leta GDP per Capita ya kila eneo ukilinganisha ndio utaelewa mbona omba omba wenu, wauza kahawa na mandazi, wauza mitumba, boda boda riders, vinyozi na wajakazi wa nyumbani wengi wanatokea Tanzania na nchi zingine East Africa, including Ethiopia kuja kuzurura vijijini ni mijini Kenya kutafuta riziki, na ujiulize ni kwa nini hawaendi kwenu ama nchi nyingine EAC kwa wingi kufanya kazi za chini kama mnavyo kuja Kenya., this fact can be used as a scientific tool, and can be included as an indicator to measure strength of a GDP..,
GDP per Capita uliyo post mwenyewe ina onyesha wazi mlivyo mafukara wa kutupwa on average,
Tazama GDP Per Capita ya Dar es Salaam is approximately $2,300(Tsh 5,743,367) with population ya 6 million na hapa Kenya county ya kumi kwa ranking by GDP per Capita ni Embu is $3,662 population of 609,000!..,
yaani na Kiambu ni matajiri zaidi ya Dar mara tatu Kiambu county GDP Per Capita $6,955(Tsh. 18,000,000 plus), Nairobi pia is Tshs 18,000,000 na zaidi)., population 5 million plus..,
Just look at ranking ya GDP per Capita top 10 vs hiyo yenu..,
Tanzania.,
View attachment 3350332
Kenya
View attachment 3350333
Ukitaka kuelewa nguvu ya uchumi ya eneo, tazama GDP per Capita, utaelewa level ya ufukara na utajiri wenu kilaza.., sio tu revenue collection.., wanyonge π€£π€£
Yaani Dar es Salaam ikija Kenya top 10 haigusiπ€£π€£π€£, Mombasa imeizidi Dar kwa mbali huwa nawaanbia humu., Dar ni CBD moja tu.., na portπ€£π€£π€£
Leta picha ya Dodoma tutaelewana, hii sio level yako..,Paper tiger. Tukiomba kuona shughuli mnafanya kwa hizo counties so that you can have those figures utatuonyesha.?
Let me tell you something. I am more educated than you fool. Unaweza Leta shughuli mnafanya kwa hizo counties.? Au ni figures tu kama kawaida yenu vilaza nation.?Leta picha ya Dodoma tutaelewana, hii sio level yako..,
Unajidai wewe msomi sivyo?.., sasa dhibitisha ni uongo, chukua tu Mombasa as your random sample, kama unaelewa neno per Capita ni nini., Pato ya port na Airport authority ni ngapi?.., then revenue., utalii, piga hesabu against population?.., mfano tu.., ama fanya utafiti ya Kiambu ujue shughuli ziko kule Kisha uje upinge with evidence., unabisha na hauna uelewa wowote., ni ushabiki tu.. idiot.Let me tell you something. I am more educated than you fool. Unaweza Leta shughuli mnafanya kwa hizo counties.? Au ni figures tu kama kawaida yenu vilaza nation.?
Kwanini usilete hizo shughuli wewe hapa na mapato yake.? Ili uumbuke humu.? Ili Kesho uache kuongea ongea uongo.?Unajidai wewe msomi sivyo?.., sasa dhibitisha ni uongo, chukua tu Mombasa as your random sample, kama unaelewa neno per Capita ni nini., Pato ya port na Airport authority ni ngapi?.., then revenue., utalii, piga hesabu against population?.., mfano tu.., ama fanya utafiti ya Kiambu ujue shughuli ziko kule Kisha uje uoinge with evidence., unabisha na hauna uelewa wowote., ni ushabiki tu.. idiot.
Kunyaland wapo million 70 hukoView attachment 3350087
Betting is our biggest problem, Kenya Nchi ina watu million 50, watu million 45 wanabet, this is Sad.
Wewe ndio unabisha., mimi si mpumbavu na mshabiki kama ulivyo., wewe ni umbue kama kweli uko na uhakika? I repeat stick to posting pictures kilazaπ€£., Yaani eti unataka shughuli π€£π€£., do u know Seychelles Iko na GDP per Capita zaidi ya Tanzania na shughuli zao za kiuchumi ni kidogo sana? though siwezi kutumia hiyo in comparison between Kenya na Tz kwa vile ata shughuli za kiuchumi tumewazidi, what of HDI?., unaelewa hilo kweli? a good indicator ya uhalisia, bado tumewazidi.., niondolee ushabiki wako humu.,Kwanini usilete hizo shughuli wewe hapa na mapato yake.? Ili uumbuke humu.? Ili Kesho uache kuongea ongea uongo.?
Kajileta π€£πππPaper tiger. Tukiomba kuona shughuli mnafanya kwa hizo counties so that you can have those figures utatuonyesha.?