Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yes ni wajinga, that’s why they keep on failing to capture ships docking at key ports.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Mimi huwa sina tabia za kinafiki, nikisema kitu, kinatoka moyoni, iwe mchana au usiku, "take it to the bank".

Kujaribu, ikimaanisha, "doing good", ni neno lenu.

Sisi huwa hatutumii neno hilo, kwa maana hiyo mnayoitumia Kenya.

Sisi kwetu, kujaribu is to try something, only to get unsuccessful results, while working on it. Ndiyo sababu ya kuweka mabano, nikimaanisha kiswahili cha Kikenya.
 
500 tulishapita, tupo kwenye 1000km sasa
 
MV Mpungu.



View: https://x.com/MoWT_Uganda/status/1760582434435801144?t=fyiyTC8ulQzUdxSZkXIjGA&s=19

Routes za Uganda, Mwanza.

Hapo bado MV Mwanza.

SGR tukikaza kidogo ikofika Mwanza, hawa wahuni watalia na mteja wao mkubwa, Uganda.
 
Was talking of Freight, not passenger service., hiyo haina faida ya kurudisha ata 20% of the loans in a year., passenger ni service serikali inawapea, at a cost of course to maintain the staff and run operations tu., uchumi wa SGR ni Freight kilaza.,
Freight ya SGR haijaanza how comes you call it a failed project?
 
Pole kwako. So hii Ship iko Dar is slum ama Lamu?


View: https://x.com/Kenya_Ports/status/1930933481959215474
Hawa majamaa when statistics don't favor them, they shout twende ground. When ground doesn't favor them they shout lete statistics. They'll ask you to bring proof on something - you give them statistics, they say the statistics are cooked ooh uchumi wenu wa makaratasi. You bring them what's happening on ground and opinions of different people on ground, they come up with absurd statements like "they're rubbing your backs because mnapenda sifa". Hawa majamaa bana. 🤣 🤣 🤣
cc instanbul
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…