Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

All those roads are to bitumen standards and in good shape. A good section of them in dualled. What's your point?
 
Mzee tunahitaji wagon ferries Mv Umoja kama nne zaidi hivi ndipo tupige kelele! Hizo chache sio kitu hata SGR ikifika Mwanza!
Mzee tunahitaji wagon ferries Mv Umoja kama nne zaidi hivi ndipo tupige kelele! Hizo chache sio kitu hata SGR ikifika Mwanza!
Biashara ni mahitaji. Unaanza na moja then unacheck upepo.

Huwezi kujaza meli 6, kwa mpigo wakati hujapata hitaji hilo la wateja kwasasa.
 
I just wanted to know the progress.

If there is any progress share.
It's a stupid question that shows you have zero knowledge of the topic you're trying to indulge in. The fact that you continue asking the question even after I explained it shows you thinking capacity isn't that great either.
 
Biashara ni mahitaji. Unaanza na moja then unacheck upepo.

Huwezi kujaza meli 6, kwa mpigo wakati hujapata hitaji hilo la wateja kwasasa.
Then usijitambe mizigo ya Uganda kuhamia Dar kutoka Mombasa maana cargo hiyo ya kupitia lake Victoria haitafika hata 5%!
 
Then usijitambe mizigo ya Uganda kuhamia Dar kutoka Mombasa maana cargo hiyo ya kupitia lake Victoria haitafika hata 5%!
Sitambi hapa.

Natoa mtazamo wangu tu.

Maana logistics zina mambo mengi, ikiwemo ufanisi wa bamdari, gharama za usafiri etc.

Hata sasa Bandari ya Dar ni cheap, lakini kuna wabongo bado wanapitisha mizigo Mombasa.

Hivyo, hapo itategemea ufanisi (possibly DP World watakuwa serious), TPA wataboresha Fela Dry Port, Mwanza na SGR itakamilika kikamilifu.
 
It's a stupid question that shows you have zero knowledge of the topic you're trying to indulge in. The fact that you continue asking the question even after I explained it shows you thinking capacity isn't that great either.
Sounds like Githeri has infused in your left brain
 
Then usijitambe mizigo ya Uganda kuhamia Dar kutoka Mombasa maana cargo hiyo ya kupitia lake Victoria haitafika hata 5%!
Badala ya kuendelea kuhangaika na mwanza , tungesumbuka na Rwanda ili wapambane wafikishe reli goma , yaan wajenge kama 400 km , ili tuchumue mizigo ya eastern Kongo huku Uganda akihangaika na butembo na bunia ambako ni miji midogo tu. Kwangu naamini kama tungefanikiwa kwa Rwanda na hiyo ya Burundi uhakika wa mizigo ungekuwepo tu
 
Inavyoonekana pesa zilikata.

Kwa maelezo ya Mwigulu inaonekana walipata, hivyo tunasubiri kuona kazi kuanzia Julai.
 
Siku ile utaskia jiji yenu yoyote nje ya Dar ama kuanzia hiyo Dar inatajwa same sentence na other heavyweights nitag.., Mombasa to the world, "Peter Drury"..
View attachment 3358546
Hii ni moja ya mikajati ya mabepari kutuzika kama walivyo wasaidia kuaminisha dunia kuwa Mlima Kilimanjaro uko Kenya.
 
Kama hatujawahi kushindwa kulipa mishahara it's ok we are better than US, nyinyi wakenya ni ******* sn, so kama US wakiwa wanafirw.a kama Mwangi na nyinyi taifa zima mtafirw.a?
 
View attachment 3358901


Kisumu City.


Third largest City in Kenya

😅😅😅😅😅
Hiyo hiyo Kisumu has more apartments than all your villages(Mwanza and the siblings)combined., nyie uswazi zikiendelea kusambaa na kutapakaa kila eneo..,










Bado serikali inaongeza zaidi..,

















 

Attachments

  • 1749294197076.jpg
    261.6 KB · Views: 29
Kama hatujawahi kushindwa kulipa mishahara it's ok we are better than US, nyinyi wakenya ni ******* sn, so kama US wakiwa wanafirw.a kama Mwangi na nyinyi taifa zima mtafirw.a?
A misplaced comparison, not applicable, so pedestrian, idiot🤣🤣🤣.,
 
Hii ni moja ya mikajati ya mabepari kutuzika kama walivyo wasaidia kuaminisha dunia kuwa Mlima Kilimanjaro uko Kenya.
Hizi ndio zile akili zenye ziko bunge ya Tanzania, nyote mnafanana ki fikra🤣🤣🤣 wewe ni MP wa wapi? Nashuku it's one of you using a pseudo account.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…