Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Badala ya kuendelea kuhangaika na mwanza ,
Mwanza ni muhimu kwa uchumi wa Ziwa Victoria, ikiwemo Uganda.
Rwanda vs Burundi.

Rwanda vs Congo.

Hizo nchi zina mabeef. Haziwezi kufanya biashara SMOOTH.

Ndio maana sisi tunafikisha reli, ISAKA Shinyanga, Rwanda wataungia hapo.

Na tunapeleka SGR Burundi kutokea Uvinza, Kigoma.

Congo watachukulia Burundi, kwenda Kindu.

 
Siku mkiweza kujilisha 100%kama sisi mtaikalia Dunia kichwani.
Hamuna uwezo wa kujilisha kilaza, ufukara na uzembe ni majina yenu ya kati.., mko hovyo ni ardhi inawalisha, mnalima kidogo(subsistence farming) Kisha mnakula, mihogo na maharage kwa wingi, ndio maana mnaongoza kwa utapia mlo na stunted growth in EAC🀣🀣🀣🀣., mnaishi kwa huruma za Mungu, nguvu hamna.., uwezo wa kupeana bure hamna, tusiponunua wakulima wenu fukara watakosa hela ya kununua chumvi, sukari na underwears.., boss mko hovyo, ndio maana kwa mjibu wa utafiti wa World Bank Tanzania ni miongoni mwa mataifa yenye watu wengi mafukara wa kutupwa., ukanda huu wa EAC na SADC mnaongoza kwa ufukara..,
 
Dalili za mtu fukara ni kupanic🀣🀣🀣🀣.
Mngekuwa na hela msingekuwa mnapungukiwa na dawa vitu muhimu kwa maisha

View: https://x.com/moneyacademyKE/status/1931176788681466113?t=w9dWMKfXDg1TlNrbAmohlA&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…