I keep on saying bongolalas are the biggest hypocrites. Wako busy na Kenya ambayo hawawezi kuipita wanasahau Uganda is closing in on them very fast.Alafu pia hawakusema ni shillingi imefanya uchumi ukadrop, walisema uchumi umedrop na wakashangilia jinsi wanavyokaribia kutupiku. 🤣 🤣
That's a rough estimate, pia wewe unaweza pima utuambie.Mzee umepima hadi kivuli ya hii jengo. 🤣🤣🤣🤣🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Where is nelson amenya, vipi huko Kenya ambapo kampeni ya kuua wabunge wenu imepamba moto?Think. Use your brain...................if you have any.
Yaan ukiangalia rate ya Kenyan walioko kwa mitandao kwa ajili ya Tanzania mpaka tunawaonea hurumaI keep on saying bongolalas are the biggest hypocrites. Wako busy na Kenya ambayo hawawezi kuipita wanasahau Uganda is closing in on them very fast.
Ukosefu wa chakula unaharibu brain za wakenya. Wakenya wanatembea na ubongo wa fisi.Think. Use your brain...................if you have any.
Main Stream zao zote zinaongelea Tanzania Kila siku. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 But hakuna hata mtanzania anaye waongelesha. Wanajipendekeza kweli.Yaan ukiangalia rate ya Kenyan walioko kwa mitandao kwa ajili ya Tanzania mpaka tunawaonea huruma
Yaan watz wanawaona wendawazimu tu.Main Stream zao zote zinaongelea Tanzania Kila siku. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 But hakuna hata mtanzania anaye waongelesha. Wanajipendekeza kweli.
Hakuna mtanzania yeyote anajiweka kiherehere kwa wakenye. Sasa hivi wamekuja na agenda ya kuandika comments kwenye mitandao ya kijamii kwa kila mtu mkubwa kwenye social media. wanaandika No reform no Election. Nimepitia accounts zinazo post hizo comments 98% ni wakenya. Watanzania wapo kimya.Yaan watz wanawaona wendawazimu tu.
Hakuna mtanzania mwenye sura ngumu hivyo huyo atakuwa mkikuyu mbona kafanana na mwaiofkibera na rigathi gachagua?He’s probably one of Bongo Jamii fellas in this sub forum . Ajitokeze!..😄😄
View attachment 3357538
Nyang’au wanavyoishadadia tz mpaka wengine wamepapaswa matako ha ha ha😎I keep on saying bongolalas are the biggest hypocrites. Wako busy na Kenya ambayo hawawezi kuipita wanasahau Uganda is closing in on them very fast.
Unatupigia kelele ju your ministry of transport was allocated ksh 130 billion. Eti hakuna wizara yeyote itatengewa kiasi chote hicho. 🤣🤣🤣 Enyewe LDC ni LDC tu.Shule kwenu ngumu🤣🤣😞😞, hapo umewekewa sample tu ya bajeti ya wizara mbili tu ambazo development expenditure ni more than 90% ya total bajeti wizara ambayo Ina recurrent expenditure ya above 50% ni hiyo wizara ya fedha ambapo 14trilion ni kwa ajili ya kulipa madeni tu huku dev ikifanywa na wizara nyingine.
Haya twende Kenya recurrent expenditure ni 73% ya total budget,
Ukija kwenye allocation kwa Kila wizara mko nyuma sana fikiria kama ministry of sports tu mnaikadiria iwe na 18bil ksh sawa na tsh 360bil huku Tanzania estimated allocation ni 519bil sawa na ksh 25bil
Bado tukija kwenye wizara ya usafirishaji Kuna 2.6trilion almost 130bil ksh , hakuna wizara yoyote ya Kenya itatengewa kiasi chote hicho maana nchi lazima ifirisike tu na hapo ni baada ya kufanya marekebisho kwenye finance bill , kumbuka Tanzania tunapunguza mzigo wa Kodi kuanzia mwaka 2025/2026 ila nyinyi mnazidi kuongeza
the end of the day sisi ndii tunajenga zaidi yenu, mipango sio matumizi. 🤣🤣🤣Unatupigia kelele ju your ministry of transport was allocated ksh 130 billion. Eti hakuna wizara yeyote itatengewa kiasi chote hicho. 🤣🤣🤣 Enyewe LDC ni LDC tu.
View attachment 3359487
Uzuri SGR Tanga-Arusha-Musoma imewekwa kwenye ilani! Ngoja tuone!HIzi ramani zako sijui za wapi.
In short, SGR Mwanza inatosha.
Ukijumlisha na cargo ferries za Ziwani au kwa barabara via Mutukula.
Hivi unajua ministries of transport n works r different in Tanzania? That Ksh 130 bln is only for ministry of transport! Its pretty obvious our budget is bigger than urs when the two ministries i.e. Works n Transport r combined! FYI railway, ports n aircraft procurement is under ministry of Transport while roads, bridges, sea vessels n airports under ministry of works!Unatupigia kelele ju your ministry of transport was allocated ksh 130 billion. Eti hakuna wizara yeyote itatengewa kiasi chote hicho. 🤣🤣🤣 Enyewe LDC ni LDC tu.
View attachment 3359487
2024/2025 tuko kwenye estimates za 2025/2026,Unatupigia kelele ju your ministry of transport was allocated ksh 130 billion. Eti hakuna wizara yeyote itatengewa kiasi chote hicho. 🤣🤣🤣 Enyewe LDC ni LDC tu.
View attachment 3359487
Ni masterplan tu hiyo.Uzuri SGR Tanga-Arusha-Musoma imewekwa kwenye ilani! Ngoja tuone!
Kisumu