hili battle mimi kama mtz nawapa nairobi tz hakuna kitu
View attachment 3358446
Kenya ambayo tunaipatianga msaada wa dawa za TB?I keep on saying bongolalas are the biggest hypocrites. Wako busy na Kenya ambayo hawawezi kuipita wanasahau Uganda is closing in on them very fast.
Ile waje kuunganisha tu Tanga - moro then iunganishwe na tazaraNi masterplan tu hiyo.
Hakuna pesa hiyo kwasasa.
Kwanini?Ile waje kuunganisha tu Tanga - moro then iunganishwe na tazara
Too much yap but at the fact remains Kenya's budget is more than all countries in East Africa combined. Sasa sijui hata unajaribu kubishana nini.2024/2025 tuko kwenye estimates za 2025/2026,
Anyway data zako Zina uwalakini leta estimates za mwaka huu
The total road budget for the Ministry of Roads and Transport in Kenya for the 2024/25 financial year was increased to Sh171.9 billion, a 29.1% increase from the previous year's Sh133.2 billion. This includes allocations for road construction, maintenance, and rehabilitation, with specific amounts listed for road safety, construction, maintenance, and rehabilitation.
Detailed Breakdown:
Road Safety: Ksh 4.2 billion
Construction of Roads and Bridges: Ksh 86.2 billion
Maintenance of Roads: Ksh 37.7 billion
Rehabilitation of Roads: Ksh 69.5 billion
Ukisema tuweke na barabara hapa
View attachment 3359553
Pia jua hapo kwenu ministry of roads and transport ni wizara Moja kwetu hapo ni wizara mbili na zote zimebeba mzigo wa maana
We ndugu yetu, sijui ulinyimwa teuzi, siyo wewe ulikuwa ukimpinga sana Magufuli hapa, imekuwaje tena?
Tutawapa tena msaada wa dawa kama mwaka jana.
Mwaka jana si tuliwasaidia dawa za TB?
Wasijali kaka zao tupo tukawasaidia tena.
TZ na kundudwellers nchi gani ina fleet companies nyingi?yani hata mwendawazimu hawezi kuwaza upumbavu huo yani ndani ya miaka miwili ambayo economy yao inasuasua wameweza kuongeza mizigo 10tons tena wanashangilia kabisa uwongo wanaodanganywa na politicians wao😂😂
You can combine and tell us the total, we deal with facts not assumptions.Hivi unajua ministries of transport n works r different in Tanzania? That Ksh 130 bln is only for ministry of transport! Its pretty obvious our budget is bigger than urs when the two ministries i.e. Works n Transport r combined! FYI railway, ports n aircraft procurement is under ministry of Transport while roads, bridges, sea vessels n airports under ministry of works!
Huyo hamna anachojua,hata dar hajawahi kufikaKama mizigo ends in Dar, why too much traffic on Dar Tunduma Road, and Morogoro Dodoma road. Hayo maroli ni empty?
You think putting opposition leaders in prison not for crimes but for speaking up against the government is progress?
An opposition being in prison, means he is doing the rigth thing against the establishment.You think putting opposition leaders in prison not for crimes but for speaking up against the government is progress?
Raila kashikishwa mlungula yupo Bondo anakula pension!You think putting opposition leaders in prison not for crimes but for speaking up against the government is progress?
Genge la Raila lote Ruto amelipa Vyeo.Raila kashikishwa mlungula yupo Bondo anakula pension!