Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Tazara na TRC, kama wengekuwa wajanja wangenunua truck on flatcar (mabehewa ya flatbet), ili kubeba tela za malori.

Hapo kila mtu ana win, (malori na reli)
 
Kws kipindi chote hicho kenya sgr imekuwa chini ya wachina na bado imeenda kwa hasara.
Madaraka kwa kipindi chote hicho haijawahi fikisha ha trips 8 .
Kabla ya kufail angalia map sgr Tanzania halafu linganisha na yenu
 
View attachment 3360112
Tazara na TRC, kama wengekuwa wajanja wangenunua truck on flatcar (mabehewa ya flatbet), ili kubeba tela za malori.

Hapo kila mtu ana win, (malori na reli)

TRC ile MGR ni kama mwendokasi tu.

Wana behewa chache ila mizigo mingi. Ukifanya booking ya behewa pale Unaweza kusubiri Hadi mwezi ndio unapata. Hata locomotive sidhani kama zinafika 10. Nguvu kubwa imewekezwa SGR... MGR wana chechemea.

Bora PPP ya Tazara, labda mchina anaweza kuleta mapinduzi kwenye usafirishaji wa Reli upande huo wa nyanda za juu Kusini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…