concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,486
Ni ukosefu maono kutoka wasimamizi wetu na hii yote ni kwa sababu hakuna kinachowabana.TRC ile MGR ni kama mwendokasi tu.
Wana behewa chache ila mizigo mingi. Ukifanya booking ya behewa pale Unaweza kusubiri Hadi mwezi ndio unapata. Hata locomotive sidhani kama zinafika 10. Nguvu kubwa imewekezwa SGR... MGR wana chechemea.
Bora PPP ya Tazara, labda mchina anaweza kuleta mapinduzi kwenye usafirishaji wa Reli upande huo wa nyanda za juu Kusini.
Typing error sgrKQ? Si KR au SGR?
Key word "Home" aka Slum home.
Hizo housing kwa uchumi gani wa ku sustain hizo housing projects? ajira zime stagnate, exports haziongezeki mwaka wa kuni sasa huu, government fiscal space ime diminish, ballooning imports, currency devaluation on the horizon. Those are white elephant unaffordable projectsUnajua ni ukweli, vumilia mtapata nafuu siku moja. ,
Kutoka vijijini hadi miji.., tunaona massive transformation happening ya housing kwa mfano..,
Tokea Bomet hadi Ruiru..., etc.,
View attachment 3358343
View attachment 3358344
View attachment 3358363
View attachment 3358352
View attachment 3358350
View attachment 3358345
View attachment 3358348
View attachment 3358347
View attachment 3358342
View attachment 3358346
View attachment 3358341
View attachment 3358340
View attachment 3358339
View attachment 3358338
View attachment 3358360
View attachment 3358361
View attachment 3358362
Sijaweka ujenzi wa Kibera, Nakuru, Nanyuki, Eldoret West area, Mombasa, Kakamega.., ushuru ni wetu nyumba ziko Kenya., miradi ni ya Kenya, irrigation amefaulu sana!!., sijui mtauzia nani mazao yenu!
Imagine zile slums zingekuwepo dar,hawa nyau wangetuchekaje sijuiKey word "Home" aka Slum home.
Tunajenga nyumba kwa gharama kubwa ili kuja kuwauzia watu wasio na kipato wakati hiyo hela ungeweza kwenda iwekeza kwenye irrigation schemes na mabwawa kwenye maeneo yenye ukame na kuhamasisha kilimo cha umwagiliaji kwa msimu mzima, baada ya hapo wananchi wenyewe watapata mitaji na wataanza kujenga nyumba Bora wengine waataanzisha miradi mwingine ambayo italeta multiplier effect kwenye zoezi Zima la ajiraHizo housing kwa uchumi gani wa ku sustain hizo housing projects? ajira zime stagnate, exports haziongezeki mwaka wa kuni sasa huu, government fiscal space ime diminish, ballooning imports, currency devaluation on the horizon. Those are white elephant unaffordable projects
Hiyo wanaita Affordable housing ni uhuni tu.Tunajenga nyumba kwa gharama kubwa ili kuja kuwauzia watu wasio na kipato
Shida ya Kenya siyo kulima tu. Hata hiyo ardhi ya kilimo, ni ndogo sana.wakati hiyo hela ungeweza kwenda iwekeza kwenye irrigation schemes na mabwawa kwenye maeneo yenye ukame na kuhamasisha kilimo cha umwagiliaji kwa msimu mzima, baada ya hapo wananchi wenyewe watapata mitaji na wataanza kujenga nyumba Bora wengine waataanzisha miradi mwingine ambayo italeta multiplier effect kwenye zoezi Zima la ajira
Ndo maana ukiangalia utofauti wa tajiri na maskini ni ndogo sana ukilinganisha na Kenya
Ukienda sehemu kama njombe,songea ,singida iringa unapata ushahidi jinsi kilimo kilivyobadilisha maisha ya watu hasa cha umwagiliaji.
Singida Kuna ukame sana ila ndo sehemu inayoongoza kwa kuzalisha vitunguu kwa central tanzania
Nimesoma kwenye website yao
Check video ya Treni zao. Naona watu wengi wameanza kuona umuhimu wa Tanzania wameanza kuja seriously
Ila commuter trains within the cities haziwi na speed kali! Hizo za 200km/h zitafaa kwenda mikoani!Nimesoma kwenye website yao
Alstom’s Avelia™ high-speed train range covers maximum operating speeds between 200 km/h and 350 km/h. Models can be either single-deck or double deck, and with or without tilting technology. With a complete portfolio, Avelia solutions are the largest offering on the market for high-speed solutions.
Avelia high-speed trains: The best way to travel fast
Alstom’s Avelia™ high-speed train range covers maximum operating speeds between 200 km/h and 350 km/h. Models can be either single-deck or double deck, and with or without tilting technology. With a complete portfolio, Avelia solutions are the largest offering on the market for high-speed solutions.www.alstom.com
Pia kuwa watchman sii ajabu. Mawatchmen wako kila mahali.Kwn kwako kufanya kazi airport ni ajabu sana? Si huwa unaenda Oman wewe, cha ajabu nn?
Mjini kunatakiwa Trams.Ila commuter trains within the cities haziwi na speed kali! Hizo za 200km/h zitafaa kwenda mikoani!
Hamna tram zinakimbia mijini 200km/h na Alstom wana trams pia!Mjini kunatakiwa Trams.
Na nnia za TRC zipo.
Hawa watu huwa wapo tu.
Issue ni mikataba.
Nilikuwa naonesha tu kuwa wapo na High speed treniIla commuter trains within the cities haziwi na speed kali! Hizo za 200km/h zitafaa kwenda mikoani!
Mimi naona hawa ni wazuri tukienda nao.Hamna tram zinakimbia mijini 200km/h na Alstom wana trams pia!
Wanajiita wasomali ila wanaibiwa kizembeHoyo wanaita Affordable housing ni uhuni tu.
Kwanza pesa zinakatwa kwenye mishahara ya wakenya hao hao.
Ardhi yoyote inaweza badilishwa ikwa ya kilimo hata jangwa linaweza badilishwa likawa poli ni stratejia tu, misri ni zaid ya Kenya ila ndo wanaongoza kwa mchele Africa.Na sasa hivi serikali imejosa pesa, na imeona kuna hizo pesa za affordable zipo, wanataka kuzobadilishia matumizi.
yaani imeshakuwa kodi mpya, tena siyo ya kujenga nyumba.
pia hizo nyumba wengi hawamudu kulipa.
Shida ya Kenya siyo kulima tu. Hata hiyo ardhi ya kilimo, ni ndogo sana.
Inahitaji mtaji mkubwa na serikali iache kutoza makodi kwenye kilimo.
Mimi naona Bora waje wajapan wako juu kuliko haoMimi naona hawa ni wazuri tukienda nao.
Nyangau priorities zake ziko misplaced since independence. They are so fond of artificial prosperity wanasahau hawana solid base.Tunajenga nyumba kwa gharama kubwa ili kuja kuwauzia watu wasio na kipato wakati hiyo hela ungeweza kwenda iwekeza kwenye irrigation schemes na mabwawa kwenye maeneo yenye ukame na kuhamasisha kilimo cha umwagiliaji kwa msimu mzima, baada ya hapo wananchi wenyewe watapata mitaji na wataanza kujenga nyumba Bora wengine waataanzisha miradi mwingine ambayo italeta multiplier effect kwenye zoezi Zima la ajira
Ndo maana ukiangalia utofauti wa tajiri na maskini ni ndogo sana ukilinganisha na Kenya
Ukienda sehemu kama njombe,songea ,singida iringa unapata ushahidi jinsi kilimo kilivyobadilisha maisha ya watu hasa cha umwagiliaji.
Singida Kuna ukame sana ila ndo sehemu inayoongoza kwa kuzalisha vitunguu kwa central tanzania