Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya siyo wamiliki wa vitu.

Hawajui ladha hiyo. Ndio maana hata leo wanajivunia Eistleigh iliyojengwa na Somalis.

Wanajivunia private estates kama Tatu City ambazo ni gated communities zenye taratibu zao.
Those somalis are Kenyans wewe mnyamwezi with Kenyan IDs and representation both in Parliament and the Executive. Wewe endelea kujiliwaza hapo Tandale
 
Si ajabu wapo bize kuishambulia tz alimradi wajifariji😎
 
The first Radisson Hotel in Bongoslum. 🤣🤣 Yani ya kwanza na hutaki tupumue.
 
Wale ni wasomali. Wako Kenya kwasababu ya vita Somali.

Wako Kenya kama wawekezaji na Diaspora tu.

Wanasiasa wa Kenya wanawapa Uraia kwasababu ya KURA tu.
Little Mogadishu is a historical and ethnographic work about the Eastleigh estate in the heart of Nairobi, Kenya. Thousands of Somali refugees have coalesced after being displaced by the war and have formed a thriving economy comprising shopping malls and hotels.

Yaani wanatupigia kelele, wakati Nairobi ipo mikononi mwa wakimbizi na wala siyo raia wa Kenya
 
Wanawapa IDs siku hizi.
 
Is this a joke to you?

 
Yet Radisson ndio wanataka kufunguka hoteli yao ya kwanza hii mwaka. 😄
World Travel Awards

Gran Meliá Arusha,

has been awarded this title for the past several years.

Dar Es Salaam Serena Hotel

has received this recognition, along with other nominees like
  • Four Points by Sheraton Arusha,
  • Four Points by Sheraton Dar es Salaam - - - New Africa,
  • Gran Meliá Arusha, and
  • Hyatt Regency Dar
Es Salaam, The Kilimanjaro.

Other Notable Awards:

World Luxury Hotel Awards:
- Anantya Serengeti is a nominee for this award, recognizing their commitment to luxury and adventure in the Serengeti.

  • Singita.
  • Bawe

Tukiweza Worldclass hotels humu za Zanzibar, Serengeti na Arusha thread itajaa bure

Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • IMG_8504.jpeg
    203.8 KB · Views: 57
Tungejichanga changa hata kwa mwaka walau KM 100. Miaka miwili tuko Morogoro tayárí
Miaka mitano tuko Iringa huko. 2033 tunateleza tu Dar Tunduma. Hizo nchi zote za Zambia, zimbabwe, malawi, mozambique, zimbabwe hadi botswana watakimbilia Dar maana port za SA ni expensive sana.
Sisi wabongo tunakuwa middle men tu na mawinga. Yaan matransitors and hence kukuza hata uchumi wa mtu mmoja mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…