Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wamekua kero.
 
Hamna hehehe, ni ufukara, Tanzania iko very open kwa wageni, la pili kukandamizwa na serikali yenu, mtanzania mwenyewe hana sauti, sembuse mgeni., mko hovyoooo hehehe
 
Fukuzeni sasa mnaogopa Nini kama sio wakenya wenu
Tunajaribu ila mnarudi tu.., ni kama USA they deport lakini illegal immigrants hawakomi.., ndio omba omba wenu walivyo hehehehe., now deal na msingi wa tatizo, ufukara wa kutupwa Tanzania, mki solve hiyo, mtamaliza hili jambo la aibu.
 
Nyinyi mmesolve tatizo la syndicates wanateka na kuja kufanyisha hizo kazi
 
Iko open kivipi hebu tupe rates ya crimes zilizopo Tanzania versus kenya
Watu hawaendi kwenu kwa wingi, ni kwa hiari yao, nani anataka kuishi taifa fukara?.., tazama muonekano wa juu wa Dar yoote kwa upana na urefu.., it is a clear round off to ufukara kimuonekano., hehehe
 
Nyinyi mmesolve tatizo la syndicates wanateka na kuja kufanyisha hizo kazi
That is just an offshoot from the real issue, mtu aliona mnakuja kwa wingi na mnaomba mitaani hadi vijijini, akaona fursa hapo, taking advantage of the plight of your poor people, akili mtu wangu., that one was sorted after BBC expose'.., kwa sasa ni ile omba omba yenu ya kawaida tu.., uzembe
 
Watu hawaendi kwenu kwa wingi, ni kwa hiari yao, nani anataka kuishi taifa fukara?.., tazama muonekano wa juu wa Dar yoote kwa upana na urefu.., it is a clear round off to ufukara kimuonekano., hehehe
Sawa kwa juu ebu select hilo kwenye paa halafu uende ground tulinganishe na kwenu. Ukikuta nyumba ya mabati dar es salaam , jua Nairobi Kuna nyumba za mabati 50,000
 
Then mnashindwa kumdhibiti ? Kwahiyo umekubali vyombo vyenu vya usalama n weak
 
Sawa kwa juu ebu select hilo kwenye paa halafu uende ground tulinganishe na kwenu. Ukikuta nyumba ya mabati dar es salaam , jua Nairobi Kuna nyumba za mabati 50,000
A skewed response.., hadi wageni wanaokuja kwenu, wanajua Kibera iko, wanaijua Nairobi ila wanaona ufukara wenu na hali duni, wanatoa ushuhuda.., hatufanani kilaza hehehe
 
Una-compare school built of brick to a school built of tope? Wewe ni Mkundustan kweli!
 
Una-compare school built of brick to a school built of tope? Wewe ni Mkundustan kweli!
Mko na ata ya chini ya mti na unabweka, it was not a comparison per'se but my basis was on principle..., one and the same issue.., wakulaumiwa nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…