Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaan akili yako Kumbe ukimtumia mamako pesa kutokea Dubai umexport service🤣🤣🤣🤣
Mamako akipokea dollar elfu moja ya matumizi na tourist pia aspend dollar elfu moja. Unadhani hio pesa ya tourist ndio inaingia Kwa economy ya mamako inawekwa kando. Hata kama we ni primary school dropout usikubali ukose akili ya kuelewa how money works. 🤣🤣🤣
 
Exports inachangia kwa foreign exchange, hizo remittance pia zinafanya the same thing, au unadhani ule Benji Fernandez wa Nala anafanya biashara ya kuuza madafu. Sasa ona vile uko mjinga Kwa mara ya tatu. 🤣🤣🤣
Join sasa ulivyomjinga nala ni technological company ambayo ina file returns ina office, inalipa taxes inauza huduma kwa kutumia application yake ya nala . Sasa wewe unataka mlinganisha na muuza ndala uk. By the way hivi unajua he also pays income tax Tanzania kulingana na kipato anachopata huko nje?
 
Shule kwako hamna ingia kwenye revenue sources za serikali yako , ukikuta revenue from remittances njoo hapa
 
Uko sure unaelewa hii kitu umecopy paste, ju hapa umejipiga own goals kama kumi. 🤣🤣🤣
 
Wewe unaelewa hata maana ? Kama unashindwa kujua ili bidhaa ihesabike kuwa Ina uzwa inatakiwa iwe natabia gani ,Ina maana hata hicho ulichowekewa hukielewi
 
Sasa ona a very simple point on foreign exchange inafanya unatupatia hadithi za kipumbavu.
 
Wewe unaelewa hata maana ? Kama unashindwa kujua ili bidhaa ihesabike kuwa Ina uzwa inatakiwa iwe natabia gani ,Ina maana hata hicho ulichowekewa hukielewi
Wacha maneno nyingi, show me any services on this list. Ukipata umeshinda hii argument.

You are more foolish than a sheep. Remittance is the fruit of Labor export, kwa books zitachezwa Kama labor.
Leta value ya export of labour katika budget zenu . source of income lazima itakuwa budgeted,? ukiziweka value zake hapa kama source of income earned from export of labour services sitakubishia ila sio uniletee maneno yasiyo na kitu. Kumbuka taarifa ya makidirio ya mapato ipo kwa website ya bunge.
Tunawaambiaga elimu zenu ni za kuunga mnaona kama tunawatukana oneni sasa eti remittances ni exports.
 
Exports inachangia kwa foreign exchange, hizo remittance pia zinafanya the same thing, au unadhani ule Benji Fernandez wa Nala anafanya biashara ya kuuza madafu. Sasa ona vile uko mjinga Kwa mara ya tatu. 🤣🤣🤣
Elimika remittances is a non commercial transaction haiwezi kuwa export service elimu zenu ni majanga kweli.
Exports involve the sale of goods or services to foreign markets, generating revenue for the exporting country. Remittances, on the other hand, are transfers of money, often from individuals to their families, and are not part of a commercial transaction involving a sale of goods or services.

Here's why remittances are not exports:
  • Nature of transaction:
    Exports are commercial transactions where goods or services are sold. Remittances are transfers of money, often for personal or household purposes, rather than for business transactions.

  • Economic impact:
    Exports contribute to the balance of trade by increasing a country's export revenue. Remittances, while they can impact a country's balance of payments, don't represent a sale of goods or services.

  • Motivation:
    Exports are driven by the desire to generate revenue and profit. Remittances are often motivated by familial support or humanitarian concerns.
While some studies have explored the impact of remittances on a country's trade balance and GDP, these are distinct concepts from whether remittances themselves constitute an export. Remittances are more accurately described as a transfer of funds, while exports are a sale of goods or services.
 
You are more foolish than a sheep. Remittance is the fruit of Labor export, kwa books zitachezwa Kama labor.
Yaan nyinyi shule hamna kabisa .
Remittances sio commercial activity inakuwaje export service
Exports involve the sale of goods or services to foreign markets, generating revenue for the exporting country. Remittances, on the other hand, are transfers of money, often from individuals to their families, and are not part of a commercial transaction involving a sale of goods or services.

Here's why remittances are not exports:
  • Nature of transaction:
    Exports are commercial transactions where goods or services are sold. Remittances are transfers of money, often for personal or household purposes, rather than for business transactions.

  • Economic impact:
    Exports contribute to the balance of trade by increasing a country's export revenue. Remittances, while they can impact a country's balance of payments, don't represent a sale of goods or services.

  • Motivation:
    Exports are driven by the desire to generate revenue and profit. Remittances are often motivated by familial support or humanitarian concerns.
While some studies have explored the impact of remittances on a country's trade balance and GDP, these are distinct concepts from whether remittances themselves constitute an export. Remittances are more accurately described as a transfer of funds, while exports are a sale of goods or services.

Mnatiaga mpaka aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…