Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeshindwa hata kujua tofauti ya commercial na non commercial activity utaiweza remittances we kaoshe viatu ishu za pesa ziachage tu
Remittance is a byproduct of labor export. Najua Kingereza na business sio mambo yako. By the way sijui mbona hata nawaste time yangu na mwenye hata hajui what business permit is.
 
Exports of services lazima services ziwe rendered kwenye country husika in this context lazima hizo services ziwe zimefanyika kenya ndio unaweza ku compute economic output
 
Labour export na exports usitumie interchably remittances haziwezi kuwa exports maana hiyo labour service haikuwa rendered in Kenya na haiwezi kuingizwa kwenye economic output of a country maana huduma haijafanyika nchini.
 
Is labor not a service? Wewe ni baboon rudi tu msituni?

By the way what’s service according to you?
Yes labour is a service ila hiyo labour imefanyika kwenye economy gani? How do you measure economic output na labour ambayo haijafanyika nchini? Saa ingine muwe mnakubali kujifunza kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…