Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So huu ndio msaada? Waliosaidia Tanzania are you guys stupid?
 
Acha ujinga toa Sources wapi tulisaidiwa na USA na UK cause nimekupa matukio ya 1970s which proves hatukua goods side nao kabisa.
 
Na unazidi kujiridhisha upumbavu wako seems una kijiba cha Roho ukiona Tanzania imeacha alama nyingi?

Can you prove me Palestine kumsaidia Idd Amin kwenye Kagera war, wakati tu walikua na uelewa nae cause Amin alikua hawapendi Israel na Israel ni adui wa PLO.

Weka source za madai yote unayoweka punguza mipasho.
 
Tatizo lenu wakudurenda mnataka tuchukiwe kama mnavyochukiwa lakini historia inawakataa katu babu yenu alikuwa bize kuwapora ardhi, kujilimbikizia mali kwahio huna unacho kijua kipindi hicho rais wenu alikuwa uhuru mbona hakupewa hata dakika ya kusalimia bahati nzuri africa inawajua mlivyo hamna jipya tena non NATO alley pumbafu kabisa


Sasa unatuletea video ya Jakaya, Mtanzania akiongea? Wewe akili yako huwa sii timamu.
 
Wewe uko nje ya mada kabisa. Soma uzi uelewe kinachoendelea kisha urudi
 
Amin got super arms from Libya and Palestine.

They even gave him some soldiers.
Just the same way you received aid from Mozambique, Angola, Ethiopia, Botswana and Zambia. In fact, Mozambique provided your weak army with troops and diplomatic support. Ethiopia, on the other hand, supplied your country with missiles and troops.

But that was not even the issue here. The issue was that both US and UK offered your country support directly and indirectly in your war against Iddi Amin. I already highlighted the role the US played in helping you in this war
 
Kunya ni kunya kweli kweli
 
Hizi habari we umezipata wapi mzee wa govi.,? 🤣🤣🤣🤣 history ya kusoma google sasahivi baada kuona mjadala JF,.?
 
Kunya ni kunya kweli kweli
Wewe ni mjinga tu usiyetaka kukubaliana na ukweli.

In fact your weak army received help from as far as china and Russia. China particularly provided weaponry like fighter jets, training and advisors during your war with Uganda. This strengthened your weak army against Uganda's army that was starved by the US arms embargo.

While Russia did not support Tanzania directly with troops like China did, it however, did take some actions that hindered Ugandan army while benefiting your weak army. For instance, they withdrew their military advisors to Uganda while also stopped arms shipments to Kampala thus significantly weakening Uganda's position in the war. Wewe endelea na matusi hapo Tandale wakati hakuna unachokijua
 
Tons of useless words.

Kataihiwe kwanza.

 
Do your research. Google is free. Mnajifanya kuijua historia wakati vipengele vya kawaida vya historia hamvijui
 
Id Amin's army was ill equipped, unprofessional/untrained and undisciplined
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…