Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So you agree Palestine supported Amin now? Sasa hiyo kupinga mlikuwa mnapinga ilikuwa ya nini? Alafu bado mjinga mwengine babayao255 ananiambia eti mbilikimo amenishinda uwezo wa kufikiria wakati nawapa somo la historia sasa hivi. Najua wengi wenu hata hamkujua Palestine ilisupport Idd Amin. Hakuna historia mnayoijua nyie.
CC. buffalo44
 
Palestine and Libya suppported Iddi Amin.

We caught their soldiers and sent them back.

 
Not only defeated your miserable army, finally Amin fled through Arua en route to a misarble final life in UAE, Tanzania also installed your regimes from Yusuf Lure, Binaisa, Obote and finally M7
Whom are you referring to here by saying "your"?

You already admitted that your army was helped by what you called "collaborators" from the West and East. Why then are you taking credit for what you don't deserve?
 
Huyo mvuta ugoro kwenye video ya Kwanza anakaa kujua nini kuhusu vita?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa huyo ndio mkuu wa hiko kikosi na aliwachakaza mbaya wanajeshi wa Amini. Na hata sasa Tunaweza kuwafira mbaya hao wanamgambo wa kunyarenda ambao mnawaita ati ni Jeshi. 🀣🀣🀣
Muanze na wahuni kutoka msumbuji wa kubeba panga na bakora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…