Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukiona Addis wala hata huwezi kuhoji mikopo.

SGR, GERD, Beatiful Addis Ababa, Expressway.

Njoo Kenya sasa.

Deni Mlima, maendeleo Kibaba.
Ethiopia uchumi wake upo bias sana kulingana na maeneo,pia vitu vingi alivyowekeza sio productive kiasi hicho.
 
Ethiopia uchumi wake upo bias sana kulingana na maeneo,pia vitu vingi alivyowekeza sio productive kiasi hicho.
Najua hilo.

Ethiopia wana matatizo ya vita na Ukame.

Ila wako vizuri kwenye maeneo waliyochagua.

  • Ethiopian Airlines (100% ya serikali)
  • Addis Ababa Development corridor (Addis abab inang'aa na wameweka taa za Chandelier na barabara ziko vizuri)
  • GERD (Bwawa kubwa la umeme wa zaidi ya 6000MW, mara 3 la bwawa la Mwalimu Nyerere)
  • Coffee export business
  • SGR mpaka Djibouti.
  • Dire Dawa-Dewele expressway, ingawa hii ni barabara ya kulipia.
 
Kunyaland imechukua mikopo mikubwa saivi wana zaidi ya 90 billion dollars debt lakini hakuna lolote walilofanya zaidi ya thika highway sababu expressway ni PPP na Talanta na bado uchumi upo mortuary
hata thika highway ni mkopo
kutoka AFDB na bado wanalipa mpaka kesho πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni sahihi kaka ila ukitizama hayo maeneo hayachagizi social development na economic development effectively labda sana sana bwawa la umeme.
Hizo pesa wangetakiwa wawekeze kwenye irrigation farming wapunguze kwanza balaa njaa.
Pia wawekeze kwenye elimu,afya na miundombinu.
Kuna mikoa Ethiopia haina lami hata kipande.
Na vita zao ni vita za kikabila sanasana ila unakuta maeneo mengine yako poa kabisa.
Nahisi Kuna namna ya upangaji wao wa mipango hauendi sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…