Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,302
- 35,824
Story za abunuasi na omba omba wa kiatu kimoja π€£π€£π€£π€£π€£
Mwambie NairobiWalker alikua Benjamin Mkapa, hakuona hizo Uswazi?I wish one of CHAN players peep through the window and take a selfie of Uswaziland prior to landing at Mabati Rolling mills airportβ¦I would buy the photoβ¦π€£π€£π€£π€£π€£π€£β¦ ( ni uchokozi tu)..
Investing 98% in Nairobi, and this how it looks likeπ π πEti welcome to the New York of Africa then ended up in mud trenches and trash shacks, wakenya exposure ni problem
View: https://youtu.be/NtMaIjE4x-k?si=MsnQa0PcXgXOibam
Wanaishi vipi?Nini cha ajabu hapa ?β¦ itβs more about other things than houses themselves. Na zile nimeona are close to each other like Ujamaa village na sio shamba . Wakenya wakulima wenye pesa hawawezi kuishi hivo ..
VuruguHivi naislum wote ni machokoraa na omba omba? Eti ndio watu waosema wana purchasing power kubwa πππ
View: https://youtu.be/3WaOPTSVoAw?si=LLNtWNCjo2obs3wm
Imagine government expenditures yao 80 percent inaishia hapo na situation ndio kama hiyo πππInvesting 98% in Nairobi, and this how it looks likeπ π π
Watu wazima wanapigania ice cream na machokoraa πππVurugu
Malizia kwamba Iko kijijini kabisa huko na ATI sio mjiniNairobi haina bus terminl kama hii!
View: https://www.instagram.com/p/DMkjzRqNUjM/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=eXY5dDRtOXo1YXp0
Hii tarehe sio ndio tarehe CHAN inafanya ufunguzi pia?
Haiwezekani kumfungulia mashtaka. Maana hawa ******* sometimes wanatuzoea Tz.Niliwambieni yule mzungu koko kutoka Ukunduni ni wivu!
View: https://www.instagram.com/p/DMko1YYNlYI/?utm_source=ig_web_copy_link
Kumbuka Leopard tours wana the largest tourvans fleet in the whole of Africa!Haiwezekani kumfungulia mashtaka. Maana hawa ******* sometimes wanatuzoea Tz.
Kuna demu black American alikuwa analia lia kwanini Tanzania hairuhusu uraia pacha, kwanini sheria za Tanzania mgeni ukianzisha kampuni lazima shareholder awe Mtanzania. πππHaiwezekani kumfungulia mashtaka. Maana hawa ******* sometimes wanatuzoea Tz.