Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna namna wakawa na yadi pia Morogoro Dodoma kama ya pugu ili kuwe na vichwa kule pia, moja ikifika nyingine inageuza.

Mfano Dar Moro ni 1hrs waweke ziwe mbili Dar Moro, yaani ya kwanza Moro ikifika tu, nyingine inapakia kuanza Dar same time. Or Interval time na zingine kukutania kwenye mapishano.

Ili hata kwa siku ziwe safari nyingi.

Maoni tu, unaweza nirekebisha.
 
We need to expand Morogoro road. Sijui kwa nini wanasitasita
Ni noma kabisa.

Alafu mimi nataka this time Nchi nzima tuache kupitisha Trunk roads katikati ya miji.

Bali iwe Mzunguko wa Mji, yaani Road inachana pori kwa poli, ukitaka kuingia mji flani kuna Exit road.

Yaani unakuta kila aina ya Bajaji, pikipiki, na vigari vidogo vibovu mnashare road kisa vinaenda kijiji hiki, or mjini pale, lakini ingekua mbali ya mji huenda tungepunguza hili ombwe maana wangebaki na barabara ya mji sio Trunk Road, mfano barabara ya Morogoro Road, kuanzia Dar inazunguka Kibaha, chalinze, mlandizi, etc na kuwe na sheria kali trunk road slow vehicle haziruhusiwi.

Huenda tukapunguza msongamano bara bara moja, tunaweza weka hata njia 4 still unakuta kuna machinga, bodaboda, daladala inabidi mwende slow.

Ila ikizunguka mji umekaa pori with dedicated speed limits tunaweza okoa muda sana.

Maana hata kimara kibaha ni Njia 8 ila machinga, daladala, bodaboda, bajaji, etc sometimes wanafanya nazo zionekane ovyo
 
Hawa watu wa serikali na Magari yao nyambafu mnaonaje SGR wapewe train moja ina mchanganyiko wa flat bed na behewa la abiria wakae humo kuletwa Dar na kurudishwa Dom, kuliko kiongozi anachukua SGR alafu Dereva kutusumbua Barabarani.
 
Hakingebaki kitu hapo 🀣🀣🀣 scenerios ni nyingi sana kuna ile ya Mchele nayo hamna aliyejisumbua ila haoa tuna ya Matikiti πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Halafu sio hata chokoraa mpaka wenye magari wanapaki pembeni kwenda kuiba tikiti zilizodondoka lakini Tanzania hamna mtu mwenye muda as nothing happened watu wanakimbia kuokoa maisha ya watu sio kuiba gas
 
Malori yamekua mengi bandari ina mzigo mkubwa mno ICDs zote zimejaa containers mpaka wameamua kupeleka mzigo Kwala, kwala ina zaidi ya miaka 6 ilishakamilika miundombinu yote lakini hawajawahi kupeleka mzigo sababu wenye ICDs Dar waliona watakosa biashara, lakini containers zimewazidia mpaka jangwani wamejaza lakini wapi.


View: https://youtu.be/MeQgU7Q8RXw?si=gGPNnxELbEOlMPU4
 
Hilo siku hizi hata sio la kutegemea wiki nzima huwa liko full tu , trc washazidiwa na wateja
So sad, badala ya kuchukulia kama sifa walitakiwa kuchukulia kama fursa ya kupiga pesa nyingi na kufanya Reli isaidie kusukuma kasi ya uchumi, maana hawa wanaopoteza masaa Barabarani wangeyatumia kufanya kweli mambo yangekua mbali.
 
Hawa watu wa serikali na Magari yao nyambafu mnaonaje SGR wapewe train moja ina mchanganyiko wa flat bed na behewa la abiria wakae humo kuletwa Dar na kurudishwa Dom, kuliko kiongozi anachukua SGR alafu Dereva kutusumbua Barabarani.
Wanunue mabehewa Yale ya kubeba abiria na magari. Watapata wateja kibao tu, kuna watu wanaotoka dar mpaka Dodoma wakifika Dodoma inawabidi wakodi magari kwa ajili ya shughuli
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wenyewe wanashangaa hata huku wanajua ila kukubali ndio issue lakini deep down wanaelewa walivyo hovyo.
 
So sad, badala ya kuchukulia kama sifa walitakiwa kuchukulia kama fursa ya kupiga pesa nyingi na kufanya Reli isaidie kusukuma kasi ya uchumi, maana hawa wanaopoteza masaa Barabarani wangeyatumia kufanya kweli mambo yangekua mbali.
Imagine mpaka lile la mchongoko leo limekosekana hapa kulikuwa na emergence ya dar ikabidi tutafute ya Moro kwa gharama yoyote tumekula za mbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…