The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,668
- 99,003
Watchman Mimi nimekushinda Mara Mia. Chukua mamako, babako, na kila mtu kijijini mwenu bado huwezinifikia. There is a reason you are a watchman and Iβm a Scientist.Tujikumbushe kdg mnuka nnya a.k.a bwana mapesa, enzi hizo anakwambia πππ€£π€£
View attachment 3425250
Fala alijua akicrop Google lens haitadaka ππ π π€£π€£Wakulungwa tukachimba na kuchimbua πππ€£π€£View attachment 3425251
Kupo kama nyuma kwa bwana mapesa π€£π€£π€£π€£π€£Kenya kuna mambo aisee, hapo ni Nairobi na hilo ni jiko la kupikia chakula π€£π€£π€£π€£π€£π€£
View attachment 3425252
Mlikosa hela ya repair running trails mkaona mbandike makapetiKasarani Stadium.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Kupo kama nyuma kwa bwana mapesa π€£π€£π€£π€£π€£
Wanatumia pesa nyingi sana kwenye propaganda kuliko maendeleo ya nchi yao.Nilichoka pale chatGPT iliponiambia treni ya sgr Kenya ina speed kuliko ya Tz π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
View attachment 3425257View attachment 3425258