The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,668
- 99,003
Nyie pambaneni na riadha aisee, mpira bado sanaaa, pambaneni na meter 50,000.Sababu mnaangalia kutoa makosa na kufanya ubishi wa kijinga Wala sio kuenjoy game. Pia sisi tungeangalia game zenu na hiyo attitude tungeona hizo nyasi ziking'oka.
Leo tuko hapa imekuwaje mmeshindwa jaza uwanja wa 48,000🤣🤣🤣🤣🤣Hiyo Talanta yenye mlisema haitojengwa? mwaiofhawaii kuja uona washaafika acceptance stage.😂😂😂
Scammer wewe unajua nini kuhusu mpira. You can’t even detect a lie from your fellow scammers 😂😂😂.
Walipata pictures za before game wakadanganayana ati Kasarani iko empty. We can’t be the same.Leo ndio official opening match, ile ya jana ilikua rehearsals.
Mbona unarukaruka?😂😂Leo tuko hapa imekuwaje mmeshindwa jaza uwanja wa 48,000🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa macho yao. They want to force Kasarani to be bad and empty like Makwapa Jana😂😂
Na tukisema mpo obsessed mnakasirika.. imagine hamna mkenya hapa alishugulika na game ya TanzaniaLeo tuangalia ili tunataka tuone jinsi pitch zenu Zina low quality ,
Fungulia DogLeo ndio official opening match, ile ya jana ilikua rehearsals.
Wana watch game yetu na machungu, yao hata highlights sikuona.Walipata pictures za before game wakadanganayana ati Kasarani iko empty. We can’t be the same.
Kwani haujajaa?Leo tuko hapa imekuwaje mmeshindwa jaza uwanja wa 48,000🤣🤣🤣🤣🤣
Facts tupu. 🤣 🤣Na tukisema mpo obsessed mnakasirika.. imagine hamna mkenya hapa alishugulika na game ya Tanzania
Hapa ni wapi kwani?
Na bado kuna wenye wamekuwa blocked outside.Hapa ni wapi kwani?
View attachment 3429664
Ni uwivu, after their boring opening match jana.Wanatanzania wanaskiza ball kwa radio. Ati Kasarani iko empty. Just look how full it is.
View: https://x.com/CarolRadull/status/1951990923803709618
Kweli ule msemo weka akiba ya maneno una maana. Hawa mbuzi humu ndio walikuwa wanaponda watu kupanga foleni kwa mkapa mlikuwa hamuwaelewi. Kwao hakuna ustaarabu.
Leo zamu yenu , hasira za nini, Leo mnapigwa tuNa tukisema mpo obsessed mnakasirika.. imagine hamna mkenya hapa alishugulika na game ya Tanzania
Wanazoom kandokando outside the line ndio wapate makosa. I have been to both stadiums recently and I can tell you hamna tofauti kwa pitch.Kwa macho yao. They want to force Kasarani to be bad and empty like Makwapa Jana😂😂
Hahaaa usitukane mamba kabla hujavuka mtoKweli ule msemo weka akiba ya maneno una maana. Hawa mbuzi humu ndio walikuwa wanaponda watu kupanga foleni kwa mkapa mlikuwa hamuwaelewi. Kwao hakuna ustaarabu.