Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Hawez onekana hapa
I want to show u how stupid u are:.,
Picha zako hizi hapa👇👇.., no cabro, wakati pipeline was muddy(matope)., no cabro no termac., sijaongelea uchafu., pipeline is ghetto ila kwa kauli yenu uswazi zenu eti sio ghetto..,
your picture..,👇👇🤣
wapi cabro ama termac????.,

Kisha hii sehemu leta 2025 tuone..,


Sasa ya 2025 where people are irresponsible with waste management how does it contradict me??? ebu wewe nieleze?., ulizo okota na ku post ni za 2025 eti? boss am not a propagandist kama wewe, ndio maana nilikuambia ingia google earth scan through uone level ya sehemu unazo dhania ni slums tulinganishe na uswazi zenu zilivyo tapakaa..,

Street za Pipeline.., besides waste issues...,






Sasa leo hii hiyo sehemu ulio onyesha with the county environmental guy kwa ground, Kuna uchafu? Kwa vile jamaa kasafisha.., na hizo nyumba utafananisha na zile uswazi zenu ya vyoo vya nje mingi za shimo?.., boss!!!!! hatufanani...,
 
MOMBASA ni zaidi ya Dar, city moja pekee ya kiukweli Tanzania nzima.,🤣🤣🤣
Mombasa city🔥🔥🔥





Tazama 👇👇sehemu ya maana Dar es Salaam.., wataweka angles tofauti.., 🤣🤣🤣🤣🤣.., hakuna sehemu yeyote pale Dar imejengeka zaidi ya hapa👇👇🤣🤣🤣
 
🚮 🚮 🚮
Inaonesha kuwa una mengi sana ya kujifunza kuhusu viongozi wako na nini kinaendelea nchini.
Shida ya wazee kila kitu wao hujifanya wanajua. Yani hamtaki kubadilika na kuwa dynamic kimawazo kabisa.
Wacha nitunze tu heshima yangu kwako kwa hili.
 
Point yetu unaokota picha za zamani kuja kuzishoff
Mfano hii picha chini ya mwaka 2022 umeitoa JamiiForums.com. Source hii hapa chini
Hapa tunataka picha baada ya kusafishwa sio za kuokota

View: https://x.com/CaptainOchenge/status/1489579403101327367?t=sEPCEFhhV0Ewctq4OwjkQw&s=19Inshort hakuna picha hata moja ya leo
 
Point yetu unaokota picha za zamani kuja kuzishoff
Mfano hii picha chini ya mwaka 2022 umeitoa JamiiForums.com. Source hii hapa chini

View: https://x.com/CaptainOchenge/status/1489579403101327367?t=RxJ-2HVa47Y9IdnBjPQuIw&s=19 Inshort hakuna picha hata moja ya leo
 
So leo hii lami na cabro zili ng'olewa? yaani hazipo kabisaaa.., tunaweka ukweli wa pipeline, uchafu ni transient (not permanent), leo ipo kesho unapata iliondolewa.., what of permanent change? infrastructure upgrade?.., boss najua akili zenu..,
 
Hii video ya Jana wakiwa wanafanya usafi halafu Leo wewe mburula unakuja kudanganyaa eti usafi ushafanyika

View: https://www.tiktok.com/@mbuvi_j0sure/video/7534680818048896262?_r=1&u_code=e97k0217fejbbi&preview_pb=0&sharer_language=en&_d=ekkjf96ki1migg&share_item_id=7534680818048896262&source=h5_m&timestamp=1754419227&user_id=7261239046692144134&sec_user_id=MS4wLjABAAAAm3MorOe7UF46Z0TcHW_gsmMKmznuwxMyX_rovbnI5wPVrZ0cmt8sj3mHNUe5Cefq&social_share_type=0&utm_source=copy&utm_campaign=client_share&utm_medium=android&share_iid=7514673448011974401&share_link_id=cb63d007-59bc-49f9-99f7-66df99a66e8c&share_app_id=1233&ugbiz_name=MAIN&ug_btm=b6880%2Cb2878&link_reflow_popup_iteration_sharer=%7B%22click_empty_to_play%22%3A1%2C%22dynamic_cover%22%3A1%2C%22follow_to_play_duration%22%3A-1.0%2C%22profile_clickable%22%3A1%7D&enable_checksum=1
 
Hawa walamba matako ya wazungu ni shida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…