Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View attachment 3434540
Babu jinga nani asiekujua humu,hadi upate tabu yote ya kuandika sinungeishika tu mkononi huku ukiuza hilo lisura lako la kikukuyu 😂
How many men umetia mimba Leo ?..You said it yourself..🤣🤣… you are one chokora twisted mind gay freak . Probably beating your meat while watching my photos ( you seem to enjoy trolling me)..now let me go n’ throw up 🤮 🤮…
 
Ahsante Kaka.
Hii nimepata idea ukizingatia kuna sheria ya Local Content muda wa kwenda kupiga pesa.

Anyway ifike muda hizi taasisi za kifedha ziwezeshe watu kuwekeza maeneo ya kimkakati asee.

Sasa tuseme unapesa, huwezi wekeza pote, tukisema uende kununua msalato kiwanja, kuna Inner Ring road, government city, kuna Kwala drypot, kuna SGR vituo vya moro, kuna SGR Dodoma, damn yaani pesa zinaisha na bado kuna maeneo yanataka uwekezaji.

Mfano huko Uranium new mine, bado hiyo nyanzaga. Dah!

Nchi hii sehemu za kuwekeza ni Nyingi, ifike muda TIC wasifocus na wageni sana waambie na locals.

Mtu hana taarifa hadi usikie madalali wa viwanja na hao madalali huna uhakika kama ni kweli viwanja vina hati. Wizara ingekua inaverify speed ingeongezeka hata huenda miji ingepanuka zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…