concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,486
Hivi milango ya chuma ya style hii kweli si inafaa kwenye stop za vyakula au magodownSisi hatukatai barabara za mitaani ni changamoto kwa Dar ama Tanzania kiujumla hilo halikataliwi.
Unatuelezeaje Mkenya kujipanga na kujenga nyumba ya mabati!?View attachment 3435804
Milango ya chuma au milango ya mabati hiyo mkuu!?Hivi milango ya chuma ya style hii kweli si inafaa kwenye stop za vyakula au magodown
Wakunya ni changamoto.Sisi hatukatai barabara za mitaani ni changamoto kwa Dar ama Tanzania kiujumla hilo halikataliwi.
Unatuelezeaje Mkenya kujipanga na kujenga nyumba ya mabati!?View attachment 3435804
Hata vile vigorofa vyao vya kwa Mukuru kwa Reuben havijapigwa hata plaster.Wakunya ni changamoto.
Hivi ni haramu kujenga nyumba ya Tofali au finishing.
Makazi ya Kenya yako aina tatu.
- Mabati
- Wakijenga kwa tofali, hakuna finishing
- Kukiwa na finishing nyumba ya tofali, ni nyumba za makampuni, estates au satelleite cities.
Sasa si Bora ujenge na tofari za kuchoma kama ni kuokoa gharama, kwao itakuwa sifa kuwa na mabati🤣🤣🤣🤣Hata vile vigorofa vyao vya kwa Mukuru kwa Reuben havijapigwa hata plaster.
Zingine tofali zimepinda.
Yani hovyo hovyo.Mtu anajipanga kabisa kujenga nyumba ya mabati na ikikamilika anajisifu kabisa kuwa Yeees nimejenga.
Shaaabaaash mbugila tope hawa mbunye fii hadhaa kabisa.
Nimecheka sana. Wapo ndani ya Nairobi - Jogoo Rd, Nairobi, KenyaSisi hatukatai barabara za mitaani ni changamoto kwa Dar ama Tanzania kiujumla hilo halikataliwi.
Unatuelezeaje Mkenya kujipanga na kujenga nyumba ya mabati!?View attachment 3435804
You should come for some benchmarking. Paved roads almost everywhere. And even city planning is something to mention too.Ni sahihi wala hatupingi Dar maeneo mengi hayana barabara za mitaani.
Ila hatuna majengo ya mabati kama Kenya.
Kenya suala la makazi ni changamoto.Sasa si Bora ujenge na tofari za kuchoma kama ni kuokoa gharama, kwao itakuwa sifa kuwa na mabati🤣🤣🤣🤣
Hata mimi nashangaa sana.Sasa si Bora ujenge na tofari za kuchoma kama ni kuokoa gharama
Houses that LOOK ALIKE. Owned by companies.You should come for some benchmarking. Paved roads almost everywhere. And even city planning is something to mention too. View attachment 3435780View attachment 3435781View attachment 3435783View attachment 3435785View attachment 3435811View attachment 3435812View attachment 3435813View attachment 3435815
Kwa Tanzania bado sana upande wa barabara za mitaani.You should come for some benchmarking. Paved roads almost everywhere. And even city planning is something to mention too. View attachment 3435780View attachment 3435781View attachment 3435783View attachment 3435785View attachment 3435811View attachment 3435812View attachment 3435813View attachment 3435815
Hao Wataita wanaishi ukivuka Holili, kuna kimji kinaitwa Voi, Taita-Taveta.Hata mimi nashangaa sana.
Nina demu wa Kikenya ni mtaita oyaaa alimsifu bro wake kajenga nyumba akiwa na 27 years.
Nikamwambia embu nioneshe pic,lamamayeee mabati from bottom to the top.
Nikacheka kimoyo moyo nikamwambia mpe hongera kajipata.
These ones too look alikeHouses that LOOK ALIKE. Owned by companies.
Shame
Tuna TARURA, inahitaji BUDGET tu.Kwa Tanzania bado sana upande wa barabara za mitaani.
Kwanza tunahitaji kurekebisha mipango miji ya mitaa ndio barabara zipite.
Na eti watu wanajisifu kujenga nyumba za bati😂😂😂.
Houses for commoners.These ones too look alike View attachment 3435822
Chang'ombe mnayoisemea.
Selectively sio?
Nakuletea za mitaani usijali.Selectively sio?
I like the way you console yourself. Plan your city and pave your roads bongolala instead of looking for flimsy excusesHouses for commoners.
Their houses are built by imdividuals, not companies for rent.