Anatuonyedha what looks like an office building along the main highway badala ya kufocus on residential housesToka kwa barabara mzee. Hii tunaona ni main road.
Tuonyeshe picha za hao ndani mita kumi π π π
Hivi kuna taifa la Africa limeharibiwa akili na wazungu kama wakundustan? Hapo ni ili zile organs za UN zinazotaka kurelocate employees wake Kunyaland wasisitishe mpango.
Naona trip ya nne ya dar Dom inaenda kuongezeka, maana mabehewa nahisi yalikuwa changamoto.
MImi niliandika Lang'ata na Kibera. Wewe hapo ni wapi?Wewe yako uliandika ni wapi? View attachment 3435910
Nishaleta picha labda hujaona.Toka kwa barabara mzee. Hii tunaona ni main road.
Tuonyeshe picha za hao ndani mita kumi π π π
Khaaa kwani hakuna matajiri wanaoununua nyumba na kujenga makazi ya kupangisha?Bro, zimevunjwa na nani wakati kila siku mnatuambia kwamba wakazi wa Dar wanamiliki ardhi na hizo nyumba? Nani kazivunja?
Umeona hapo Tandika?Bro, zimevunjwa na nani wakati kila siku mnatuambia kwamba wakazi wa Dar wanamiliki ardhi na hizo nyumba? Nani kazivunja?
GDP per Capita πππ Djibouti ipo juu ya Kenya.Sijaelewa kwamba
Tuko.co.ke
ICYMI: Kenya is ranked third among the richest countries within the East African economic block, which has 13 countries. List of the top seven in comments. Photos: William Ruto, Samia Suluhu (Facebook).www.facebook.com
Thatβs a very primitive thing to sayβ¦ you really lack exposureβ¦ Uswazi mentality at itβs best..ππHouses that LOOK ALIKE. Owned by companies.
Shame
π€£ π€£ π€£ π€£ Tangu dunia yetu iumbwe ni nchi ni Kenya na South Sudan pekee watu wanakufa kwa njaaThatβs a very primitive thing to sayβ¦ you really lack exposureβ¦ Uswazi mentality at itβs best..ππ
Pitch ya Uwanja wa Mkapa ndio mbovu kuliko zote.Uganda wana Pitch bora
Uwanja Mpaka Raha
Sasa unatuletea ripoti ya 2004 lakini Sisi tukikuletea ya 2022 unaliaπππ€£.
Hizo shack ati rent ni $50?πππSinza is for commoners in Tanzania.
Hata rent ni $50.
For Kunya it's middle class.
Jana kuna pitch ukibutua mpira tope jeusi la nyasi lina linaruka. πππUganda wana Pitch bora
Uwanja Mpaka Raha