Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha woga ndugu. Hawana mpira wa kuzidi Tanzania hawa nyan'gau. Tofautisha kukamia na viwango vya mpira kwa wachezaji. Kenya ni wanakamia mechi ila siyo timu nzuri. Sianglii matokeo haya kujastify ubora wa timu ya Kenya.
 
Huwa huangalii mpira kaka, kwa ule mpira wa kubutua butua, sema wana kocha lakini hawana wachezaji.
 
Sawa, wapeeni 1M pesa za Kenya basi kama madafu ni kidogo 🤣
 
Acha woga ndugu. Hawana mpira wa kuzidi Tanzania hawa nyan'gau. Tofautisha kukamia na viwango vya mpira kwa wachezaji. Kenya ni wanakamia mechi ila siyo timu nzuri. Sianglii matokeo haya kujastify ubora wa timu ya Kenya.
Mimi najua mpira vyema sana na najua nini naongea.
Kundi la Kondoo linalo ongozwa na Simba ni bora kuliko kundi la Simba linalo ongozwa na Ng'ombe.
 
Soma maelezo vizuri kama huelewi nikuletee bandiko lingine.
Mashindo ya AFCON ya preliminary stages na final stages.
Preliminary kuanzia hatua ya kufuzu na finals kuanzia group kwenda kwenye mechi ya fainali.
So based on this argument, how many times therefore has Tanzania qualified for AFCON?
 
You only have Clement Msize , wengine ni swara za serengeti 🤣🤣🤣
Kenya hamuna beki kama Dickson Job,Shomari Kapombe, Ibrahim Bacca. Sijaona kiungo wa kati kama Kelvin Nashon au kama Feisal Salum au kama Mudathir Yahya.
Kenya bado kukamia kwenu ni sawa na Stellenbosch kumfunga Zamalek akijisifu anajua mpira akaja kukutana na Berkane akafa goli 5.
Hamuna quality hiyo bado na kukamia huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…