Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Soma maelezo vizuri kama huelewi nikuletee bandiko lingine.
Mashindo ya AFCON ya preliminary stages na final stages.
Preliminary kuanzia hatua ya kufuzu na finals kuanzia group kwenda kwenye mechi ya fainali.
Sawa. Kwa hivo pia mshaashinda game ya world cup kisa mmewai shinda qualification match ya world cup? According to your low thinking capacity Bongolala has won a world cup match without ever qualifying for world cup? Wewe mwalimu wako wa chekechea hakukutandika vizuri. 😀 😀
 
nikiwa kama mwenyekiti haya nyie wakenya hapa mada ni dar vs nairobi huo upuuzi wenu wakuvunja mageti na kujaza uwanja munatujazia thread mupeleke huko kwenye magroup ya triblalism hapa tuongelee maendeleo ya miji hii miwili

hii ni battle ya dar vs nai huo ujinga wenu pelekeni huko ng'ombe hizi

munakua kama wanawake matasa walioshika mimba ukubwani muda wote wanataka kupigwa ukuni tu
 
Acha woga ndugu. Hawana mpira wa kuzidi Tanzania hawa nyan'gau. Tofautisha kukamia na viwango vya mpira kwa wachezaji. Kenya ni wanakamia mechi ila siyo timu nzuri. Sianglii matokeo haya kujastify ubora wa timu ya Kenya.
Hata mie nashangaa kwa quality ipi uiogope Harambe stars kiasi hicho?
Mpira wote tumeona labda naweza kusema Kocha ndio anaibeba timu ila sio uchezaji wa players.
Sijaona forward ya kumpita Ibrahim Bacca wala Shomari Kapombe pale wala Dickson Job.
Sijaona kiungo wa kati wa kumzia Mudathir Yahya pale tena kwa Feisal Salum ndio kabisaa wanatepeta hawa.
 
Sasa wewe unaumia kwa nini na Yemen Taifa lako haina hata national football team?
 
Nimemuuliza according to akili yake ya umatako washawai shinda game ya world cup bila kushiriki. 🤣
Huu mjadala nishaumaliza siendekezi mjadala wa *******.
Wacheni ubishi wa ******.
Hiyo world cup yenyewe ina stage zake ikiwemo hiyo preliminary stage ama qualification stages.
Kuanzia group stage hadi final match huitwa final stages.
Endeleeni na ubishi wenu wa ******.
 
So how many World cups has Tanganyika participated in based on this argument?
 
Jibu swali, mshawai shinda game ya World Cup au la?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…