Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sio mm nimesema ni CAF wenyewe ndio wametoa hio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sawa basi...nunua ticket uje utazame finals Nairobi. Ama nyinyi ndio wale 50 bob ni shida kwao? Huku kwetu it's 200 shillings, just a reminder even as you make arrangements
 
Huu apa uwanja mpya wa Znz for Afcon 2027, it’s under construction already πŸ‘‡πŸΎwale wazee wa Talanta 🀣🀣🀣🀣 hare is the comeback.. and guess what tunaenda kuwa na viwanja sita vya mpira vyenye hadhi ya kimataifa by 2027.
 
Ule mji wao mchafu uliochakaa ambao huwa sijui wakazi wake wanaishi wapi umeshaleft group tayari. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ule mji wao mchafu uliochakaa ambao huwa sijui wakazi wake wanaishi wapi umeshaleft group tayari. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hii itakua balaa mkuu, unajua kuna kuwapita na kuwavuka, tunachokifanya ground ni kuwavuka. 🀣🀣🀣 sijui watashikilia wapi. Mana hiyo Fumba ina projects za kimkakati nyingi mno zikiisha Mombasa itakua ni Pemba iliyochangamka.
 
That's 2013. That year Morocco was ranked number 95 by FIFA. It was even lower than Uganda. We beat them when they're one of the best national teams in the world and the best in Africa. Sit down.
Ndio ujue sasa tangu 2013 nyie ndio mnakuja kuona mwezi leo 🀣 🀣 🀣 🀣. Tanzania inaogopwa na watu wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…