Tell us the progress of your bets against Harambee stars. How much have you won so far?ππKwa maelezo ya wakunya humu hao jamaa wanaovunja magate na kukimbia hovyo kwenda uwanjani Wana maisha Bora, na ni middle inkamu πππ
Unahangaika sana kijana. Tanzania ipo juu sana mdogo wangu. Endeleeni kujitahidi.Tell us the progress of your bets against Harambee stars. How much have you won so far?ππ
AFCON tutahost pekee yetu juu CAF can't afford the embarrassment za Stadiums being empty.Acheni ujinga wa kulazimisha kuingia bure hii ni chan tuu mnafanya huu ujinga afcon je itakuaje
Ziamishwe Tanzania yet hamuendi kuangalia mpira?π€£π€£πHizi mechi zihamishiwe Tanzania πΉπΏ, hawa wakundustan hawana adabu.
When was the last time a 30 floor building was constructed in Dar is slum?π€£π€£π€£ hebu amka ndotoni utajinyea wewe.
Kwani lazima kujenga gorofa iwe 30 floors wewe shamba boy.? π€£π€£π€£When was the last time a 30 floor building was constructed in Dar is slum?
Namba kubwa ya watalii inayohesabika Kenya mi pamoja na TRANSIT.Wakundustan wanazidi kukimbiwa, nakumbuka the entire coast tourism belt of Kunyaland ilikua dominated na Italians, most properties were owned by the Italian tycoons lakini now all abandoned, cha ajabu utashangaa watafake data waoneshe walipokea watalii wengi na mapato mengi
View: https://x.com/TheCitizenTz/status/1954464966162977093?t=_sNzpYFaOvke3QyRs49Zwg&s=19
Mwaka huu tu, mna VURUGU, huo mwaka 2027 mna uchaguzi itakuwaje??AFCON tutahost pekee yetu juu CAF can't afford the embarrassment za Stadiums being empty.
When you crashed our discussion kwani uliona tukidiscuss about 5 floors buildings?Kwani lazima kujenga gorofa iwe 30 floors wewe shamba boy.? π€£π€£π€£
Na ndio bado tutapea hosting rights za opening and final matches.Mwaka huu tu, mna VURUGU, huo mwaka 2027 mna uchaguzi itakuwaje??
Mnakuanga very delusional. This same fake story mmezaliwa mkaipata na bado mnaiendeleza in this era of internet? In your mind you think Mzungu can't just Google those places like Ngorongoro to know which country it's situated in? Ama hao watalii ni watoto that they have to be told everything by Kenya airways officials?Huko US na Ulaya, Kenya Airways inawauz kwa watalii kuwa itawapeleka Ngorongoro, Serengeti, Kilimanjaro.
Juzi niko sehemu nikamuoma chawa amevaa shati la kijani halafu kwenye "screen saver" ya simu ameweka picha ya "mama" ujinga mtupu πππDah ni hatari, ila kuna watu wanatulaumu eti tunapenda mpira wa Simba na Yanga.
Unaona kabisa siasa zimezidi.
Utachagua lipi utoke uende Uwanjani or upitie bars or restaurants, screen HD vinywaji, hakuna fala wa Mama Mama.
Unaenjoy mpira ukimaliza unageuza home.
Or uende Uwanjani ukute ufala na siasa nyingi? Like seriously tumezidi sasa na inaanza kukera
Wana utoto mwingi sana hawa nyangau ndio kwanza wanaona sprinklers kwenye stadium zao nakudhani wameendelea.Nasubiri kuona namna anavyo change gear. πππ
huyu jamaa ndio alitakiwa kua rais wa tanzania yani jamaa kanyoka sana na watendaji wake wanamuogopa na wanafanya kazi vzr ππππ
Nani kapinda? Wapi watendaji hawamuogopi Rais?huyu jamaa ndio alitakiwa kua rais wa tanzania yani jamaa kanyoka sana na watendaji wake wanamuogopa na wanafanya kazi vzr ππππ
Weka na Dodoma Stadium pia mkuu
CBD nairobi kuna barabara za tope achilia mbali vumbi πππππHata huna aibu kutuonyesha barabara za vumbi.
habari mbaya kwa politicians hio waliokua wananua ticket na kugawa bure kwa wale watu wao ili wawa support kwenye siasa πππππππ