Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na bado munakuja Kenya kufanya benchmarking.


View: https://x.com/TarhanYild53511/status/1948416175039217722?t=JzoR6OD5aJz2EKHcHnqFdw&s=19
 
3 new stadiums for Afcon 2027.. Arusha πŸ‘‡πŸΎDom πŸ‘‡πŸΎZnz tukimaliza huku hizi zipo ready .. Mkapa stadium πŸ‘‡πŸΎZnzPemba…
Hapo bado tunazo
7. Chamazi complex
8. Uhuru stadium 🏟️

🀣🀣🀣 likija suala la viwanja vya mpira sisi ni super power in this region.
 
3 fastest growing zones in Dodoma city.
1.Hazina/Medeli πŸ‘‡πŸΎ2. Njedengwa DodomaπŸ‘‡πŸΎ3. Magufuli City Dom πŸ‘‡πŸΎ.. hii ndio Dodoma ninayojua mimi πŸ˜„.

Hizi places zikimaliza ujenzi zikajaa πŸ˜† nafurahi sana.
 
Kenya power has 10 million customers, ebu waulize TANESCO ina customers wangapi? Oooopppss hawajui about customers, they only count villages.🀣🀣🀣
Kwanza amequote gazeti la serikali . Ni kama wakati wa Moi kuquote uchumi from Kenya Times ( owned by KANU)… he thinks he’s tricking meβ€¦πŸ€£πŸ€£
 
Munaongoza kusambaza vijijini 🀣
Watanzania ni vilaza. Haya tuambie munaunganisha nyumba ngapi kwa mwaka
 
Na pia mlipe watu kuingia uwanja muache kutuaibisha
 
Serikali imeamua ipee mashabiki tiketi za bure kuepusha aibu πŸ˜‚. Alafu serikali yenyewe hata haina pesa ya kupea team ikichapa morocco, surely 500k ni nini kwa team
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…