Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Halafu kuna mbwa wanadai wanaweza ku-host Afcon peke yao! Kisa Talanta!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ matajiri hao

View: https://x.com/moneyacademyke/status/1957291363763925200?s=46
Huko tulishatoka kitambo kijana
 
Kwanza amequote gazeti la serikali . Ni kama wakati wa Moi kuquote uchumi from Kenya Times ( owned by KANU)… he thinks he’s tricking meβ€¦πŸ€£πŸ€£
so hawatakiwi ku report habari au?? hvi ww unafkiri tanzania kuna upuuzi kama kwenu? media zote ni kikuyu na kalenjin πŸ˜‚πŸ˜‚

yani tanzania ni kubwa mara mbili ya kenya na bado huogopi tu?? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umeambiwa tatu has over 100 companies ni kubisha tu unapenda kubisha
ziko wapi ndio zile mulokua munatuonesha humu ? kampuni ya kuuza cherehani au?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

hvi wewe unaijua 3b usd vzr ??? hio ni pesa imejenga largest electtic dam in east africa nyerere dam with 2115 MW na ina bwawa la kuhifadhi maji ukubwa wake sawa uchukue nairobu yote, kisumu yote na mombasa yote combined
 
Serikali imeamua ipee mashabiki tiketi za bure kuepusha aibu πŸ˜‚. Alafu serikali yenyewe hata haina pesa ya kupea team ikichapa morocco, surely 500k ni nini kwa team
View attachment 3445875
hii news imeandikwa na nani???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

hebu wait hii ndio official source yako?? ama kweli punda anaweza kua na akili kuliko mkenya
 
Hivi Kenya kuna tajiri anaweza nunua fleet kwa style ya ktz
View attachment 3445985
hayupo na hatatokea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
akijitahidi sana tahmeed amefkisha 10 na huyo bado ni mtanzania so ame copy mambo ya huku, tanzania abood kuketa bus 50 kwa wakat mmoja ni jambo la kawaida sana
 
I took a video of your CBD and it had worse roads than this section (Which is not even part of the CBD). Hiyo video huwa inawauma sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…