Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya’s rice production capacity is not yet maximized. But things are changing in places like Mwea ( do research) .. though the local demand is higher than the supply for now , the trend is slowly reversing. At the same time , if farmers can reap more profit to export it to Japan, so be it. We can turn rice into a cash crop and figure out other cheaper ways to satisfy domestic demand. After all , farmers come first .
 

Mwea kule kirinyaga si watu wanashindia muratina asubuhi Hadi asubuhi? Muda wa kulima wanatoa wapi na nguvu hawana kwa cheap mnonyi!?

Hivi kati ya propaganda za mtandaoni wakunya kununua tickets za Tanzania na ujio wa Riggy G na maandamano ya kumpokea ni habari gani Iko viral zaidi hapo kunyaland kati ya hizo mbili!?
 
akuna sehem duniani wananchi wanapenda serikali yao, na hio nchi ya ahadi na mtindi haipo
 
Huwa mna "Kizungu Mingi"

Asiyewajua😀
 
Mwea ni 30,000 acre tu ambazo hata mkisema zizalishwe zote hamuwezi ondoa deficit ya mchele.
Japan rice production kwa mwaka ni zaid ya 6mil tonnes with deficit ya in between 990,000 tonnes .
Kenya total rice production haivuki 300,000 tonnes demand ikiwa above 1.3mil tonnes
Bado mnadanganywa tu.
Kipindi nyinyi mnafikiria kuanza kuwekeza kwenye mchele watanzania kwa sasa wanahamia kwenye full mechanization ya mchele hence production inazidi kuongezeka na bei kuendelea kushuka ,
🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…