Capt Richie
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 1,503
- 3,818
Hatuna wasiwasi juu tuko sure mnatolewa.Hapa na mimi nipo Nikifurahia Kunyan kutoka
Japo Siiamini Timu yangu.
Ila Roho Kwaaatu mbwa hawa Kutolewa
View: https://www.instagram.com/reel/DNqj5xws2NT/?igsh=Z2FkNGw2amZ1enRq
Kuleni mabao pole poleππππ
Yale majigambo yenu yako wapi?πKuleni mabao pole poleππππ
View: https://x.com/TeyaKevin/status/1958959346811117749?t=m92p_Zx8cdwtsRoSID7HTA&s=19
Ni aibu kufunga normal time πππ
Muambie sisi hata tukifungwa wala hatuumii ila tutakula bia kushangilia ushindi wa member mwenzetu wa SADC. ππππ
Bia za 50 bobπππMuambie sisi hata tukifungwa wala hatuumii ila tutakula bia kushangilia ushindi wa member mwenzetu wa SADC. ππππ
View attachment 3449489
Hakuna aibu wala nini. Kwani hujui mpira una matokeo matatu. Nyie nyang'au mlikuwa na kamdomo sanaπNi aibu kufunga normal time πππ
Hivi wewe nyang'au unapata wapi ujasiri huu wakati ulitamba sana kabla ya kutolewa?πJirani amechezewa kwa Kizungu hajui ajibu Niniπ€£π€£π€£
Official language ya Morocco ni Kiarabu, hiyo kizungu pengine umetoa kwenye mkundru wako. πππJirani amechezewa kwa Kizungu hajui ajibu Niniπ€£π€£π€£
Kafie mbele maku wewe πππAh waarabu wanazingua pia refa anazingua.
Huyu refa amewapendelea sana waarabu.
Ila hawa Morocco walikua hawana mpira wowote.