Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Waulize mbona watu wote wa county ya Taita Taveta hufata matibabu bora kwenye hospitali za Tanzania! 😂😂😂
 
Mmeshindwa kuleta zako na huku hapa unapinga kila kitu. Show us your credible source tuone basi.
Kwamba that data filler, alizunguka all countries akafanya evaluation??

Jakaya Kikwete Cardiac institute Wakenya mmejaa.

Muhimbili National Hospital Mmejaa.

Ocean Road Cancer institute mmejaa.

Hapo bado private hospotals kama Selian, Aga Khan, Kariuki, KCMC etc.

Haya hapo bado Health centres na regional hospitals zilizoko mipakani kama Rombo, mmejaa.

Mnacjojua ni data cooking tu.

Tell me any health service mna-offer Tanzania haipo??
 
You are an idiot.
 
Yet your leaders come to seek treatment in Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…