Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndiyo hawa waliyo kuwa wanalipinga.bwawa la umeme halafu wanandika ujinga wao hawakitakiwa kuruhusiwa kwenda huko hata siku moja
Wazungu ******* sana, Uzuri nchi yetu misingi yake hairuhusu kuwasikiliza sana. Vinginevyo tungepotea.

Magufuli asingekaza now wangekua wanatuandika

Poverty stricken with no electricity access as country have limited capacity need aid for generators blah blah blah na usenge mwingine.

But now tulikaza

Umeona tunavyoandikwa Investment feasible as electric production outnumber demands
 
For security reasons, and went to Belgium for further other treatments
Mbona hakupelekwa Burundi, Malawi ama South Africa? Kama indeed it was for security reason?

What about Rose Muhando?
 
Imagine units 117 kwa mkupuo
Yutong kapiga 180,000*117=21,000,000 usd
Serikali ifanye namna iwakazie wachina wawe na Assemblies tunachukua PC nyingi.

Imagine mwendokasi tu kifurushi kipo 900buses

Watu binafsi ndio hivyo wanapigana mieleka 200units zinamwagika miezi kadhaa.

Wafanye namna NYUMBU CORPORATION iwe na partnership ya assemblies tusichekee fursa.

Unaweza hata waahidi yoyote atakayeweka Plant atapewa priority kwa order za domestic.
 
She could not get a better hospital in Tanzania and that's why she came to Kenya.
You invited her, in your scamming church, humiliated and deserted her.

Yaani mmmuita kwenye vijikanisa vyenu vya kitapeli,.

After that humiliation, ulitaka mmrudishe akiwa the same
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…