Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kama ni chaguo la wengi mbona waliogopa kumpigia kura kwnye mkutano wa CCM, kikwete akaikwepa suala la kupiga kura unafkiri kikwete mjinga😂😂😂 alishajua kua wanamng'oa asbh mapema sana
Mwamba huyu hapa. Kiboko ya January, Ummy na Polepole. Wote wametepeta Kwikwikwikwikwi Sisi tupo na Tanzania nyie mpo na Mabeberu. Njama zenu zote zime fail. Kutumia wakenya kumtukana mnlidhani tutakwama





 
kama ni chaguo la wengi mbona waliogopa kumpigia kura kwnye mkutano wa CCM, kikwete akaikwepa suala la kupiga kura unafkiri kikwete mjinga😂😂😂 alishajua kua wanamng'oa asbh mapema sana
Mwamba huyu hapa anawakondesha wazembe na wasiolitakia mema Taifa letu. Unaumia sana kuona nchi inaongozwa na mwanamke. Nyie wahafidhina mnashida sana Kwikwikwikwikwi Taifa lipo salama





 
wakulazimishwa 😂😂😂 wanakusanywa wasanii wote kwa kulaImishwa na kupewa pesa ww unafkiri haya mambo ni mageni kwa watanzania mzee
Iwe kulazimishwa au kwa hiari CCM lazima isonge mbele. Lissu yupo jera na maisha yanaendelea. Mama yake ni Mwanakwaya wa TOT ya CCM



 
Mambo ya kawaida sana mdogo wangu. True colors zenu tutaziona tu. Ukipambana na CCM unapambana na Tanzania huwezi fanikiwa utakufa kwa presha tu mdogo wangu





 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…