Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Timu ya wanawake Police Kenya imepigwa na JKT Queens kwe mashindano ya CECAFA. Nakuondolewa kwenye mashindano.

JKT Queens imetinga Fainali.
 
wizi, corruption, hunger, slums na poverty
Msimu huu nadhani wameshakubali kwamba we are the really football nation, tumetomba timu zao zote pasipo kuchagua uwanja, iwe kwetu au kwao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hilo goli lao walilopata leo ni la penalty, na penalty yenyewe ya mchongo, ingekuwa mechi imeisha 90 minutes
 
Hiyo chat gpt ina wakenya wengi, hata hvyo ukiwauliza kuhusu Tz na Kenya huwa wanapata shida sn kukubali ukweli, niliacha kutumia siku niliyowauliza ni nchi gn ya kwanza EA kuwa na BRT, gpt ikasema ni kenya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 

Sawa sawa mkuu, afanye hvyo. Hawa ******* waende kwao, hatutaki mkenya afanye kazi zinazoweza kufanywa na mtz hapa nchini. Warudi kwao, naomba tuwatag wahusika kwa nguvu kubwa mpk iwafikie ili huyo mkenya aondoshwe nchini arudi kwao.
 
Wengi wa wanaofanya kazi kwenye hzo taasisi ni form four leaver waliozungusha NECTA.
 
Sawa sawa mkuu, afanye hvyo. Hawa ******* waende kwao, hatutaki mkenya afanye kazi zinazoweza kufanywa na mtz hapa nchini. Warudi kwao, naomba tuwatag wahusika kwa nguvu kubwa mpk iwafikie ili huyo mkenya aondoshwe nchini arudi kwao.
Muda mwingine ni kuwasamehe tu majority ya wakenya wenye chuki ni wale ambao hawatembei kuna wengi wao tunafanya nao biashara vizuri tu, kumfukuza si hoja aelekezwe tu taratibu za kufanya
 
Singida black stars 🇹🇿 Vs Police 🇰🇪
Full time: Singida won🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Shabana 🇰🇪 Vs Pamba FC 🇹🇿
Full time: Pamba won🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Simba SC🇹🇿 Vs Gor Mahia 🇰🇪
Full time: Simba won 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Young Africans 🇹🇿 Vs Bandari FC 🇰🇪
Full time: Young Africans won🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Police women 🇰🇪 Vs Jkt women 🇹🇿
Full time: Jkt women won 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mnataka ushahidi gn kwamba Tz ipo juu kisoka kuliko wanusa gundi!!????
 
Muda mwingine ni kuwasamehe tu majority ya wakenya wenye chuki ni wale ambao hawatembei kuna wengi wao tunafanya nao biashara vizuri tu, kumfukuza si hoja aelekezwe tu taratibu za kufanya
Hapana mkuu, watanzania wa sasa sio wale wa mwalimu Nyerere, watanzania wa sasa wanaakisi maisha halisi ya dunia ya sasa UBAYA UBWELA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…