Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,339
- 107,983
How helped by KQ?Helped by KQ
Alafu ndiyo mchezo wanaoutegemea, japo it's not popular in Tanzania but huko napo tumeanza kuwaacha kwa speed ya jet 🤣🤣🤣🤣🤣Hii nayo itawauma sana. 😂😂😂
View attachment 3472527
nadhani TBL inapaswa kuwepo pia! Kingine its wrong to mention EABL as Kenyan perse while it has branched in Tanzania and Uganda!
Sio michezo ya maskini tena, mbona congratulations ni nyingi 😂😂😂View attachment 3472779
Mbona tushawazoea nyie wangese
Bank za Kenya ziko wapi naona Equity tuu hapo
TBL market CAP yake sasa ni 2.12 Trillion na hapo imeshuka kwa 32.84% this year. Last year December it was 3.15 trillion ingekuwa juu ya CRDB kwenye hiyo list hapo.nadhani TBL inapaswa kuwepo pia! Kingine its wrong to mention EABL as Kenyan perse while it has branched in Tanzania and Uganda!
Hawa ni watu wa mchezo mmoja kama ilivyo tabia yao ya city moja tuuWhat sport is kenya good at View attachment 3472793
🤦♂️kitu unachoshangilia, haina tofauti nakushangilia kwamba umepigwa vidole. That's a waste of public funds and a misuse of Tax payer money from both states!(KE/TZ)...funds ambazo zingetumika ku benefit both of her citizens in one way or another. Na akili kama hizi naona East Africa we are cooked.